Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli


Pole kadogo2
Muhimu ishi...utapata mtakayependana tena
 
umri huo bado unapenda kweli! pia umeruka stage pigwa kwanza kitaa na wahuni kwanza
 
Kumbuka hatima ya maisha yako na ya wanao umeyabeba wewe Ukicheza karata yako vibaya umeharibu future yako yote
Shida ya sisi binadamu huchukulia mapenzi ni rahisi na ukumbuke mapenzi ndani yake kuna ngono, mtu anaweza kukufuata kumbe amekutamani kingono. Mchunguze kwanza
Mwanaume mkweli
1. Atakuwa anaongelea habari ya ndoa na wewe
2. Kutambuana, atakupa uhuru na kwake atakuleta
3. Atakutambulisha kwa ndugu na marafiki
4. Mtaongelea kuhusu maisha kazi na mambo mengine yanayohusiana na maendeleo.
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi mkuu… kama kitu kinakataa moyoni mwako at first achana nacho
Kitu kukataa ni sawa...lakini pengine kinachokubali uko mbali nacho......badilisha mazingira////
 
Mwanaume anizidi umri yaani kwa umri wangu nipate mwenye miaka 30-35
Sawa watakuja we kuwa serious usianzishe mahusiano subir watangaze ndoa na watatangaza usiwe na haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…