Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
weka vigezo vyako vyoteHongera mkuu.. natumai naMi nitapata Kijana wa Miaka hiyo anifanye kuwa mke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka vigezo vyako vyoteHongera mkuu.. natumai naMi nitapata Kijana wa Miaka hiyo anifanye kuwa mke
kwn umewahi kufika kageraOkay
Kila la heri kadogo.Siwezi naachana nae tu Naona najipotezea muda tu
Ni kweli mkuu… sasa hivi nianze kuwa na moyo mguu maana nakuwa mrahisi kumpenda mtu
Ila hapo kabla kama Mungu asingemchukua mchumba wangu basi nisingejua maumivu ya mapenzi… nilidhani kwa namna ambavyo nilimpenda huyo Kijana na yeye akanipenda basi ndio maisha huwa hivyo kwamba ukimpenda mtu nae anakupenda kumbe ni kinyume chake…. Mwanamke hapaswi kupenda kabisa ni kuigizaa tu
Kumbuka hatima ya maisha yako na ya wanao umeyabeba wewe Ukicheza karata yako vibaya umeharibu future yako yoteSawa
Kitu kukataa ni sawa...lakini pengine kinachokubali uko mbali nacho......badilisha mazingira////Wakati wa Mungu ni wakati sahihi mkuu… kama kitu kinakataa moyoni mwako at first achana nacho
Mapenzi ni hisia sio muonekano na Mwanaume anataka aheshimiwe.Mwanaume una lingana nae umri ama amenizidi miaka 2 sasa si nitazeeka kabla yake
That's itKumbe
Sawa watakuja we kuwa serious usianzishe mahusiano subir watangaze ndoa na watatangaza usiwe na haraka.Mwanaume anizidi umri yaani kwa umri wangu nipate mwenye miaka 30-35
We mavi kweli, haya endelea na ukahaba wako unaojifunzia uzeeniSijakushirikisha mkuu nimeshirikisha jf
Pole sana kwa kumpoteza mpendwa wako.Hapana mkuu alikuwa single tu sema bahatii mbaya hayupo tena duniani
Asante SanaaPole sana kwa kumpoteza mpendwa wako.
Ni kweli ila hayakuhusuWe mavi kweli, haya endelea na ukahaba wako unaojifunzia uzeeni
InshallahSawa watakuja we kuwa serious usianzishe mahusiano subir watangaze ndoa na watatangaza usiwe na haraka.
Lakini umri bado ni kitu ya kuzingatiaMapenzi ni hisia sio muonekano na Mwanaume anataka aheshimiwe.
Hadi Mimi mkuu ephenWanaume wa jf sijui wanakwama wapi.
NdioHadi Mimi mkuu ephen
Umenikumbusha wimbo wa Wivu by jay combat 🏃🏃🏃Ndio
Kumbe unasikiliza singeli?Umenikumbusha wimbo wa Wivu by jay combat 🏃🏃🏃