Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Hizo ngonjera labda ujaribu kwa la 4 B mkuu
Njoo pm basi upokee kiss la huba uujaze moyo wako uturi na bustani ya tabasamu..

Hakika kadogo mimi kwako nipo taabani njoo umiliki hizi hisia zenye thamani ya utajiri mithili ya suleimani..

Namtuma njiwa pm alete salamu kwako mwali natumai utazipokea.. Alovyu kadogo2
 
Umri wako tafadhali
Maana inaonekana bado una mapenzi ya utoto

Kiufupi inaonekana una utoto mwingi
 
Duniani watu wenye mapenzi ya dhati wapo. Ni suala la muda
Kumbuka mwili ni wako na humkomoi mtu. Ukitembeza sana K, kunywa pombe n.k utajikuta umepata ukimwi. Huo ukimwi ni wako.
Jitunze, tumia akili na fanya uchunguzi kwanza kabla ya kuingia kwenye mapenzi na mtu.
 
Mimi Pia sijui mkuu inabidi sasa ukamuulize yeye alotuwekea angezikata hizo nyaya za hisia
Izo zimewekwa kwa ajili ya wanandoa tu πŸ˜ƒ km hujaoa ama kuolewa hupaswi kuzilalamikia ivo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Pole san
 
Hili tatizo liliwahi kunikuta. Kuna rafiki yangu anaitwa Rose. Sasa wakati naisha Njombe mjini nikatembelewa ghafla na demu wangu mwingine ikabidi Rose nimsave Rose jina la DADA. Alipokuja akatest kupiga simu yangu jina likatoka DADA. Aliwaka hatari sana aisee!
 
Mimi Huwa siongei ndugu hata kama nione hapo umenicheat siulizi zaidi nitakuja kuanzisha uzi jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…