ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mtoto anawaita mnajifanya hamsikii.Wallet hazina mood yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto anawaita mnajifanya hamsikii.Wallet hazina mood yeyote
Tafuta mwanaume mmoja tulia naeMengine nilishayaongea post za nyuma mkuu
Njoo pm basi upokee kiss la huba uujaze moyo wako uturi na bustani ya tabasamu..Hizo ngonjera labda ujaribu kwa la 4 B mkuu
Hilo ni li Jamaa bro😁🤣
KimbiaHilo ni li Jamaa bro😁🤣
Kimbia wewe, mimi siku hizi ni monk.Kimbia
Duniani watu wenye mapenzi ya dhati wapo. Ni suala la mudaBasi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo
Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Izo zimewekwa kwa ajili ya wanandoa tu 😃 km hujaoa ama kuolewa hupaswi kuzilalamikia ivoMimi Pia sijui mkuu inabidi sasa ukamuulize yeye alotuwekea angezikata hizo nyaya za hisia
Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo
Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Hawa akina 'nataka mwenyewe' ni wa kuweka mbali na watotoMtoto anawaita mnajifanya hamsikii.
Pole sanBasi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo
Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Hili tatizo liliwahi kunikuta. Kuna rafiki yangu anaitwa Rose. Sasa wakati naisha Njombe mjini nikatembelewa ghafla na demu wangu mwingine ikabidi Rose nimsave Rose jina la DADA. Alipokuja akatest kupiga simu yangu jina likatoka DADA. Aliwaka hatari sana aisee!Basi mimi nimeamua nibadilike tu hii Roho ya kuwa mwema kwa kila mahusiano niachane nayo
Unaingia kwa mahusiano unampenda mtu kumbe yeye ana kutamani wala hana upendo na wewe
Imagine unakuta kwenye simu ya mpenzi wako amekusave Annastazia Dodoma
Na wewe umemsave majina mazuri
Mimi huwa sina kawaidaa ya kumsave mtu jina la mahaba hata ukishika simu yangu huwezi kukuta majina yameseviwa ki romantic kama ni mpenzi wangu nitakusave majina ya wazazi wako na kama una mtoto nitasave jina la mwanao mfano Baba D au Jeremiah Kasongo.
Hata huyu mpnz wangu Nime save jina lake halisi.. sasa kuangalia kwenye simu yake yeye kanisave Kadogo2 Tabora 😨 nimeumia sana bora angenisave jina la baba angu kuliko hivyo.. hata kama tulikutana Dodoma ndio anisave hivyo
Nimeamua kuachana nae Rasmi maana nimehakikisha huyu mtu hanipendi.. miezi 4 ni mingi sna kuwa na mtu halafu anakudanganya 🥵
Mimi Huwa siongei ndugu hata kama nione hapo umenicheat siulizi zaidi nitakuja kuanzisha uzi jfHili tatizo liliwahi kunikuta. Kuna rafiki yangu anaitwa Rose. Sasa wakati naisha Njombe mjini nikatembelewa ghafla na demu wangu mwingine ikabidi Rose nimsave Rose jina la DADA. Alipokuja akatest kupiga simu yangu jina likatoka DADA. Aliwaka hatari sana aisee!
AsantePole san