- Thread starter
- #261
Mwanaume una lingana nae umri ama amenizidi miaka 2 sasa si nitazeeka kabla yakeBado hujaaamua kutulia endelea kuhangaika tu na maplay boys wanaendelea kukuchakaza. Halafu bora kupendwa kuliko kupenda. Mpe nafasi anayekupenda huenda na moyo wako utabadirika na wewe utampenda pia.