Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Bado hujaaamua kutulia endelea kuhangaika tu na maplay boys wanaendelea kukuchakaza. Halafu bora kupendwa kuliko kupenda. Mpe nafasi anayekupenda huenda na moyo wako utabadirika na wewe utampenda pia.
Mwanaume una lingana nae umri ama amenizidi miaka 2 sasa si nitazeeka kabla yake
 
Akikutunza vizur atazeeka yeye hata kama wewe imemzid umri Hilo usizingatie akija mtu anayenyoosha maelezo mwelewe waweza kula gudtime mpaka ukashangaa, au we wataka vigezo gani viweke tuvione
 
Mwanaume anizidi umri yaani kwa umri wangu nipate mwenye miaka 30-35
 
Back
Top Bottom