Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

Man down..
Una mblock kwa kumuogopea nini au kuhofia Nini.?
Mwambie ukweli alafu futa namba yake usimblock
Mkuu 2016 to 2025 sio rahis hatujawai kukwazana hata siku moja wala kutupiana maneno
 
Mapenzi yanawatesa sana vijana wa kitanzania,
Ebu focus kwenye mambo yako ya msingi, lakn kikubwa zaidi kata naye mawasiliano na usimchukie, msamehe kwa mabaya aliyokutendea, mfichie madhaifu yake!
Kwa kufanya hayo utakuwa umemnyima shetani nafasi ya kukuendesha na utakuwa umempa MUNGU nafasi ya kukuletea MKE BORA!

Relux, HUWEZI JUA MUNGU KAKUEPUSHA NA NINI!
 
Vijana kama ninyi ndyo tunawataka kwenye majukumu yetu ya kula uku tumefumba macho safi sana hakika angekupa maumivu maan kwanz angetumia lugha ngumu

*Kama kaajiriwa then wew unajitafuta angehis amekuzid kiuchumi

*Tabia ya wanawake walio ajiriwa uwa wanakazarau Cha kujianzishia wenyew bila kulisi

*Kama mamayake mzaz ameshapima uzito wa maji na unga usilazmishe uwa familia iyo inapenda maisha ya kifahar,kuonekan n watu flan wa hadhi ya juu

NB.umechukua hatua muhimu mapema sana ni vzur Kuna vibaba wanakuja JF wanalilia sababu ya bila mpangilio 👍👍👍👍👍👍👍
 
Sasa si ungemwambia yeye mwenyewe hayo mapungufu yake? 😀
Polisi huwapendi au una waogopa
Mkuu siwapendi sababu niliona ni watu wasio na akili ilikua hivi baba angu ni mtu wa kijijin alimsomesha mpaka anapata u police yeye katokea home mzee alikua ni kiongozi sehem x alitoa boko badala ammwambie kinachoendelea alikaa kimya et uzalendo mpaka baba akalala lock up

Huku akisema alijua ata solve hio issue mwenyewe nilimchukia toka siku io
 
Sio vijana tuuh usipo angalia hata Mzee asinge chukua hatua ya kukaza moyo Kwa mamayako huenda ungezaliwa Kwa mama wakambo

NB.
Maisha yako ya Leo ndyo hatma Yako ya kesho

*Chukua iyo itakusaidia mpka kesho
 
Mwenyewe ni mtumishi wa umma japo sio mkongwe na ni daraja dg bado lkn nipo vizur kwenye financial management najua pesa yangu izae vip lkn yeye imagine kabati la lak 4 kitanda 700k kama msanii na hapo anaoshi kota
 
Asante mkuu wacha niangalie mbele japo najua anaweza kunipata kazini kwangu naogopa ku mchana makavu naona ataona kama nimepata mwingine
Kula buyu endelea na maisha yako, hujamuoa kwahiyo usihofie chochote. Muache ile style ya kimya kimya na hivi mpo mbali ni rahisi.
 
Mambo uliyotaja kama sababu yanarekebishika!

Matumizi,kukomand,mama mkwe n.k yanarekebishika kabisa!

Muombe Mungu kama ni mapenzi yake iwe kama sio vunja!
 
Sio vijana tuuh usipo angalia hata Mzee wako asinge chukua hatua ya kukaza moyo Kwa mamayako huenda ungezaliwa Kwa mama wakambo

NB.
Maisha yako ya Leo ndyo hatma Yako ya kesho

*Chukua iyo itakusaidia mpka kesho
 
Usimblock we mwambie ili apate uhuru wa kuendelea na mpenzi wake wa huko kambini kwao,jitahidi usirudie kudate na bogus
 
Kama roho inakuuma hujamuqcha huyo mwanamke. Ovaa
Ndio kwa muda huu bado sijamwacha akifika home au getho lkn huko alipo sitamtafuta kwa miez mingi mfululizo na mimi sio mtu wa social network ni JF NA X basi kote hamna picha zangu insta fb na kwingine sio mpenzi ko hataona update yetote
 
Mbona unalilia sana mkuu, anyway pole vidume tunajikaza hatuliilii hovyo.
Wengine tushaumizwa moyo umekuwa na ganzi, unaempenda wewe kapenda na mwingine, mwingine nae kapendwa na mwingine, huyo mwingine nae ana mwingine moyo sukuma damu so mashine.
Ni swala la muda tu 🤣utakamatika
 
Mimi mambo ya kuniambia nikupe laki 7 ujue ndio umetuma maombi ya kuachana. Bado sijawahi kuwa na nyege ya kufika bei hiyo, bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…