Wazo zuli mkuu ntalifanyia kazi kma itanibidi kama nitashindwa kabisa bila yeye maana huwa alikua ananishauri vitu vingi jambo kubwa ni kumtegemea Muumba wetu siku za ujana wanguMuda mzuri wa kubadili tabia ni Sasa ukiwa kijana mdogo wangu ,ikiwa roho na nafsi yako vinakusuta basi ni wakati sahihi wa wewe kubadilika na kubali na mkeo wa maisha .
Achana na Mambo ya kuchepuka maana huna Jambo unaloingiza la faida zaidi ya kujitengenezea future mbaya na kuishi bila amani .
Rudi kwa huyo dada ,anza upya na mueleze ukweli anza mwanzo mpya ,maisha ni maamuzi ,amua leo
Sawa ,itoshe kusema huyo ndiyo wako ,Rudi nyuma wanawake wa hivyo hawapo kwasasaWazo zuli mkuu ntalifanyia kazi kma itanibidi kama nitashindwa kabisa bila yeye maana huwa alikua ananishauri vitu vingi jambo kubwa ni kumtegemea Muumba wetu siku za ujana wangu
Maana anajua kazi ninayo ifanya changamoto zake
Ukimizwa sana unakuwa na no remorseNdo maana siku hizi unalala na wake za watu
Siku ya Valentine naiona njema kwako kuyatengeneza Mambo yako na huyo dada ikiwa itakupendeza .Valentine ipite kwanza mkuu 🤣🤣
Mbeya mpka kufika huko si mbali kwa mtu umependayoMkuu yupo mbali kishenz yaan ni mbali km zaid ya 800+
Hamna wakuhama kila mmoja akae kwake ukijisikia kwenda kumpa company kanisani kwake nenda na hivyo hivyo sema muhimu uweke u balanceMkuu sasa nan anatakiwa kuhama kati ya mimi na yeye
DuhMkuu siwapendi sababu niliona ni watu wasio na akili ilikua hivi baba angu ni mtu wa kijijin alimsomesha mpaka anapata u police yeye katokea home mzee alikua ni kiongozi sehem x alitoa boko badala ammwambie kinachoendelea alikaa kimya et uzalendo mpaka baba akalala lock up
Huku akisema alijua ata solve hio issue mwenyewe nilimchukia toka siku io
Ndio hivyo mkuu sasa ni watu wa namna gani!! Niliuliza na jamaa wengi walisema kuwa ndivyo walivyo kuna jamaa anadai wamesomaa wote jamaa alikua na kosa dg la ulevi mchana akamkamata na kumsweka ndan kama hamjui yule. Jamaa hajawai kumsamehe hata alipo ludi kuomba msamaha aliuliza kama ningeiba jamaa anganipiga shaba huyuDuh
Binadamu sisi ni Habari nyingine. Usikute alitaka sifa za kijinga kuwa huyu alikomaa na siri mpaka baba yake tulimfunga