Nimeamua kuoa Msabato

Huko sabato utajuta bro,mke sio dini,mke ni mtu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hakunaga mapenzi bongo Zama zimebadilika tunaishi kidigitali siku hizi KULA TULE..UTUMBO MTUPU HAUTUPWI
 
Nenda kaoe kijijini kwenu. Ongea na mzee wako, shangazi zako na ndugu wengine wakutafutie mke.

Hawa wakukutana vyuoni na kimjinimjini usipokuwa makini utajikuta umeingia xha kike. Kuoa ni kazi ngumu kuliko unavyofikiria.

Ila jua tu utapata wa kufanana na wewe.
 
Tafuta wakinga
 
Jiandae kubadili dini uwe msabato....ni kweli wako vizuri sema wana misimamo ya kipuuzi na wabaguzi sana hao.
 
Mleta mada amekufa kaoza kwa binti wa kisabato ila hatutaki kusikia uameamua kufufuka utulie pekeako oooh!

Nasema mtaachana tu
 
ok, tunashukuru kwa kutujulisha kuwa umefika salama kabla ata ya kuvuka mto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…