Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kila la kheri....First date = Interview
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri....First date = Interview
Sio kweli hao wasabato tunaishi nao ni wabinafsi na kama hana uelewa ndo wakushinda kanisani kila siku na wachafuuuUko sahihi mkuu. Mafanikio ya mwanaume yanapimwa na vitu vitatu, 1 - Afya yake. 2 - Kipato. 3 - Familia bora. Sasa mimi nimepiga mahesabu yangu nimeona binti wa kisabato ni daraja zuri la kuwa na mafanikio kwa kuzingatia hivyo vitu vitatu. Hawa wengine wanabugia Savannah, Kitimoto, hela ya kusuka, kutoka na marafiki, na mambo mengine ya kishetani hawafai kwa mwanaume unayetaka kufika m
Hakika hata mimi siwezi fikiria kuoa binti ambaye sio msabato ,nimejifunza ni rahisi ndoto zako za mafanikio kutimia mapema kuliko dhehebu
Ni kweli mkuu 90% ya wasabato ni masikini. Mimi huwa sipendi kuishi kinafki kama hawa watu wazinzi halafu wakimyaaaUmepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.
😂😂😂umenichekesha nikakumbuka niliambiwa nikidate na binti nihakikishe ana D ya physics olevelNimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo.
Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake.
Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.
4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana.
Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.
5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu.
Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.
Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana.
Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi, English kuanzia D.
Uhakika wa mwanae kufaulu hesabu😂😂Naona ni kama hauhitaji mke ila ni udahili wa NACTE,hyo C ya hesabu na D ya Englis itasaidia nini ku solve tatizo la ndoa kama kuchepuka?
Alafu sasaivi wana slogan yao ya tuoane sisi kwa sisiNaishi na familia ya kisabato jorani unafki kwenda mbele hawataki watoto wao wacheze namajirani tusio wasabato basi watot kama mazezeta wanajua kuimba kwaya tu. Mama mzuri ni yule anayewafundisha watoto positive na negative side kwa sababu tuko chini ya jua tunatakiwa tujue tujitambue ili tuishi. Believe watoto wemgi wa wasabato wanaishia kwenye uzinzi wa kutupwa na unywaji pombe uliokithiri sithubutu na huu usabato ni kupotosha familia yako uwe na familia inayojua watu wa kanisani shuleni na nyumnani ni hatari
Wewe naona unaangalia kinachoonekana kwa nje na sio kilichofichika.Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo.
Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake.
Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.
4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana.
Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.
5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu.
Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.
Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana.
Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi, English kuanzia D.
Kuna kitu nimekiona kwa wasabato walio wengi “ubinafsi” sasa sijui kipi kinapelekea wengi wao wawe wabinafsi!! Ama ni mtazamo wangu tu????
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Wewe kuna jambo baya umefanyiwa na msabato ndo maana comment zaidi ya mbili ni kuponda tuNaishi na familia ya kisabato jorani unafki kwenda mbele hawataki watoto wao wacheze namajirani tusio wasabato basi watot kama mazezeta wanajua kuimba kwaya tu. Mama mzuri ni yule anayewafundisha watoto positive na negative side kwa sababu tuko chini ya jua tunatakiwa tujue tujitambue ili tuishi. Believe watoto wemgi wa wasabato wanaishia kwenye uzinzi wa kutupwa na unywaji pombe uliokithiri sithubutu na huu usabato ni kupotosha familia yako uwe na familia inayojua watu wa kanisani shuleni na nyumnani ni hatari
Ahahahaaaa ndani ya hiihii dunia mkuu?au mbinguni?Watoto wa kisabato kiukweli wametulia saaaaana pamoja na mapungufu ya kibinadamu,mi nimeoa msabato aiseeh burudani mno havina hasira za kijinga ni waaminifu Sana ila tatizo lao Ni sabato yao tu daaah fanya yote ila sabato yao usiibughudhi, kiukweli need nimeridhika hata jamaa yng nilimshauri leo hajutiiii
PF ndo nini?? ntawafuatilia zaidi wasabatoNimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo.
Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake.
Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.
4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana.
Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.
5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu.
Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.
Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana.
Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi, English kuanzia D.
Nitafuatilia hili. Nimeona watu wengi wamelalamikia.Shida yao kubwa ni wabinafisi tena wamepitiliza
Hadi nawaza,hivi kuna siri gani kubwa kati ya wasabato na ubinafsi??