Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
🤣🤣Mlianza na weupe tukameza vidonge, mkaja makalio tukaenda China, sasa mmekuja na ya wasabato. Haki mnatuvuruga nyie kenge!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Mlianza na weupe tukameza vidonge, mkaja makalio tukaenda China, sasa mmekuja na ya wasabato. Haki mnatuvuruga nyie kenge!!
Pole mkuu. Vumilia na ikibidi jielekeze usabatoni.Mlianza na weupe tukameza vidonge, mkaja makalio tukaenda China, sasa mmekuja na ya wasabato. Haki mnatuvuruga nyie kenge!!
Hajui wengine walivyoangaika gym kuzitafta na madawa juu+opMmeacha wenye namba. Nane saa hizi mmeamia kwa wasabato
Mnatuchanganya jamani
Ubinafsi na asilimia 89.9 ni masikini, usijiwekee hazina duniani msemo wao mkuuKuna kitu nimekiona kwa wasabato walio wengi “ubinafsi” sasa sijui kipi kinapelekea wengi wao wawe wabinafsi!! Ama ni mtazamo wangu tu????
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Umepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
Wanajitunza sana sema hawajui mapenzi kwasababu katika maisha yao hasa hao waliozaliwa huko, wameiitunza sana hiyo sehemu ya siri kwasababu katika dhambi ambayo msabato hata akilala usingizi anaiogopa ni kuzini, na zile kumi tu, zingine zote wanafanya kama kawaida na kwa waganga wanaenda vilevile. ajabu kuna mmama mmoja liliwahi tembea naye siku za maisha yangu ya misri,Mademu wa kisabato hawana gharama hata kusuka hawasuki
Ila sasa wanagongwa hao na wachungaji ,katekisti,padri,kwaya boy ,drummer boy,kinanda boy ,guitar Lord, mwenyekiti wa semina za jioni ,katibu muweka hazina ,mwanaibada mwenzake as long as naye awe msabato
Baki na msimamo wako.Umepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.
Binti wa kisabato of course Kwa wale walioshika dini ya usabato vizuri wako vizuri Sana na unaweza ukafurai saana ukiwa naye lakini Kuna wengine ni wasabato feki yeye ni msabato jina TU kwahiyo kua nao makini pia ila kwa ushauri Wangu ukitaka Binti wa kisabato mwenye maadili mazuri ya kisabato ingia kijijini hakika hautonisahau.Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo.
Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake.
Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.
4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana.
Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.
5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu.
Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.
Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana.
Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi, English kuanzia D.
Kwahiyo Yesu alikuja akasema tufanye dhambi kisa alitufia msalabani na tunaokolewa kwa neema..ebu tumia hata akili.Umepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.
kwa sasa tunaenenda kwa roho, hatuenendi kwa sheria. sheria ile mnayoshika ninyi ni ndogo mno, zipo zingine ambazo Roho anatufundisha na hazipo kwenye Bible, kama ingeandikwa kwenye Bible isingetosha ile biblia. ndio maana hata Yesu alipokuja aliponya watu siku ya sababo ninyi wasabato mkamshika na kumhukumu kwamba anavunja sabato, ukitaka kunihukumu mimi kwa sheria anza na Yesu kwanza, ndio ubaki na nabii wenu Musa peke.Kwahiyo Yesu alikuja akasema tufanye dhambi kisa alitufia msalabani na tunaokolewa kwa neema..ebu tumia hata akili.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu alipoanza kuhubiri alianza na tubuni mkapate kuokolewa..sasa mnaokolewa vipi kama hujaacha dhambi..na dhambi ni uasi wa sheria na sheria moja wapo ni amri kumi za Mungu..utahesabiwaje haki kama hujatimiza wajibu wa utii kisheria...hata ndio twaokolewa kwa neema sio tiketi ya kutenda dhambi.kwa sasa tunaenenda kwa roho, hatuenendi kwa sheria. sheria ile mnayoshika ninyi ni ndogo mno, zipo zingine ambazo Roho anatufundisha na hazipo kwenye Bible, kama ingeandikwa kwenye Bible isingetosha ile biblia. ndio maana hata Yesu alipokuja aliponya watu siku ya sababo ninyi wasabato mkamshika na kumhukumu kwamba anavunja sabato, ukitaka kunihukumu mimi kwa sheria anza na Yesu kwanza, ndio ubaki na nabii wenu Musa peke.
sheria mojawapo ni amri kumi ambayo mojawapo Yesu aliivunja (ikumbuke siku ya Bwana ukaitakase), ndio maana nimesema jiwe la kwanza mlianza kumrushia Yesu, sisi tunafuata tu. kwa kukusaidia, wamwabuduo Mungu halisi huwambudu katika Roho na kweli, Roho lazima awe ndani yako, sheria bila Roho ni upotevu. KESHO KAMUULIZA MCHUNGAJI WAKO KUHUSU HAYA, then lete mrejesho kama atakujibu:-Yesu alipoanza kuhubiri alianza na tubuni mkapate kuokolewa..sasa mnaokolewa vipi kama hujaacha dhambi..na dhambi ni uasi wa sheria na sheria moja wapo ni amri kumi za Mungu..utahesabiwaje haki kama hujatimiza wajibu wa utii kisheria...hata ndio twaokolewa kwa neema sio tiketi ya kutenda dhambi.
Kama hujaelewa hilo basi endelea kutenda dhami ukisubiri neema.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Yesu alikiri nankisema wazi hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza..pia alishika sabato kama ipasavyo sheria na si sabato bali sheria zote alizi shika na kuenenda vyema nazo..ndio mana narudia kukuuliza mbona kila akimponya mtu alikua anamwambia aende salama na asitende dhambi tena..kama yeye alijua hakuna haja ya sheria bali neema?sheria mojawapo ni amri kumi ambayo mojawapo Yesu aliivunja (ikumbuke siku ya Bwana ukaitakase), ndio maana nimesema jiwe la kwanza mlianza kumrushia Yesu, sisi tunafuata tu. kwa kukusaidia, wamwabuduo Mungu halisi huwambudu katika Roho na kweli, Roho lazima awe ndani yako, sheria bila Roho ni upotevu. KESHO KAMUULIZA MCHUNGAJI WAKO KUHUSU HAYA, then lete mrejesho kama atakujibu:-
sijakuelewa, umeshaomba ushauri wa mchungaji wako kuhusu mistari hii: 1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ,Kumbuka Yesu alikiri nankisema wazi hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza..pia alishika sabato kama ipasavyo sheria na si sabato bali sheria zote alizi shika na kuenenda vyema nazo..ndio mana narudia kukuuliza mbona kila akimponya mtu alikua anamwambia aende salama na asitende dhambi tena..kama yeye alijua hakuna haja ya sheria bali neema?
Hebu tumia lojiki usikaze shingo kuteteta vitu usivyovielewa..
Tunaokolewa kwa neema ila hatukuambiwa tuvunje sheria haki kwa imani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala Yesu hakuvunja kushika sabato..bali alionyesha jinsi inavyopaswa kuitunza kwa kutenda matendo mema kwa wengine..ndio mana alitolea mfano wa ngombe akidondokea kisimani..kuonyesha yale ya muhimu kwaajili ya kusaidia na kuokoa sio kosa kuyatenda siku ya sabato.sheria mojawapo ni amri kumi ambayo mojawapo Yesu aliivunja (ikumbuke siku ya Bwana ukaitakase), ndio maana nimesema jiwe la kwanza mlianza kumrushia Yesu, sisi tunafuata tu. kwa kukusaidia, wamwabuduo Mungu halisi huwambudu katika Roho na kweli, Roho lazima awe ndani yako, sheria bila Roho ni upotevu. KESHO KAMUULIZA MCHUNGAJI WAKO KUHUSU HAYA, then lete mrejesho kama atakujibu:-
kwa kifupi ni kwamba, ninyi mnakimbizana na kivuli, sisi wenzenu tunaishi kwenye uhalisia.Kumbuka Yesu alikiri nankisema wazi hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza..pia alishika sabato kama ipasavyo sheria na si sabato bali sheria zote alizi shika na kuenenda vyema nazo..ndio mana narudia kukuuliza mbona kila akimponya mtu alikua anamwambia aende salama na asitende dhambi tena..kama yeye alijua hakuna haja ya sheria bali neema?
Hebu tumia lojiki usikaze shingo kuteteta vitu usivyovielewa..
Tunaokolewa kwa neema ila hatukuambiwa tuvunje sheria haki kwa imani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sibishani ila nakueleza wazi kuwa..amri kumi hazijawahi kuvunjwa wala kuondolewa na Kristo..na hilo fungu ukitaka kuelewa vizuri kasome vizuri torati ya Mussa utakutana na sabato za kila namna tambua sabato manake ni pumziko..kulikua na sabato ya ardhi kuwa italimwa kwa miaka 6 wa saba isilimwe iachwe ipumzike hizo zilikua sabato pia.sijakuelewa, umeshaomba ushauri wa mchungaji wako kuhusu mistari hii: 1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ,
kama bado nenda tafadhali ndio urudi tubishane. .