Nimeamua kuoa Msabato

Nimeamua kuoa Msabato

Mademu wa kisabato hawana gharama hata kusuka hawasuki

Ila sasa wanagongwa hao na wachungaji ,katekisti,padri,kwaya boy ,drummer boy,kinanda boy ,guitar Lord, mwenyekiti wa semina za jioni ,katibu muweka hazina ,mwanaibada mwenzake as long as naye awe msabato
 
Kuna kitu nimekiona kwa wasabato walio wengi “ubinafsi” sasa sijui kipi kinapelekea wengi wao wawe wabinafsi!! Ama ni mtazamo wangu tu????
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Ubinafsi na asilimia 89.9 ni masikini, usijiwekee hazina duniani msemo wao mkuu
 
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
Umepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.
 
Mademu wa kisabato hawana gharama hata kusuka hawasuki

Ila sasa wanagongwa hao na wachungaji ,katekisti,padri,kwaya boy ,drummer boy,kinanda boy ,guitar Lord, mwenyekiti wa semina za jioni ,katibu muweka hazina ,mwanaibada mwenzake as long as naye awe msabato
Wanajitunza sana sema hawajui mapenzi kwasababu katika maisha yao hasa hao waliozaliwa huko, wameiitunza sana hiyo sehemu ya siri kwasababu katika dhambi ambayo msabato hata akilala usingizi anaiogopa ni kuzini, na zile kumi tu, zingine zote wanafanya kama kawaida na kwa waganga wanaenda vilevile. ajabu kuna mmama mmoja liliwahi tembea naye siku za maisha yangu ya misri,

Mke wa mtu mme wake mfanyakazi tanesco na alitoka mkoa fulani kwenda kwenye arusi dsm na tukapanda basi siti za pamoja hatujuani, huwezi amini nilichomfanyia mlemle kwenye basi giza lilipoingia na kesho yake akaanza kunitafuta.

Wanaogopa dhambi mdomoni na wanashindwa kuzishinda kwasababu kwa nguvu zetu huwezi kutimiza sheria, ila kwa uwezo wa Mungu akituhuisha na kuwa ndani yetu na kuenenda kiroho. hiki kitu ni cha kweli sijatunga,na wengi pia wasabato nilitembea nao na waimba makwaya yao yaleyale kama ya ambasadars....unafiki mtupu.
 
Nina marafiki wasabato. Wanasuka, wanavaa mawigi, wanatengeneza kucha, wanakula kitimoto na pombe wanakunywa. Na ijumaa jioni wanasema sabato imeingia.

Tabia ni mtu haijalishi anasali wapi. Wengine hawasali na wana tabia njema tu. Na kuhusu diet ni uamuzi binafsi kila mtu na taste buds zake.
 
Umepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.
Baki na msimamo wako.
 
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;

1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.

2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo.

Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.

3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake.

Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.

4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana.

Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.

5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu.

Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.

Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana.

Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi, English kuanzia D.
Binti wa kisabato of course Kwa wale walioshika dini ya usabato vizuri wako vizuri Sana na unaweza ukafurai saana ukiwa naye lakini Kuna wengine ni wasabato feki yeye ni msabato jina TU kwahiyo kua nao makini pia ila kwa ushauri Wangu ukitaka Binti wa kisabato mwenye maadili mazuri ya kisabato ingia kijijini hakika hautonisahau.
 
Umepoteza uzao mzee, watoto wako watakuwa mazezeta ya kisababo pia kuamini kitu ambacho hakiwafikishi mbinguni na wote wataenda motoni kwasababu bado wanafuata sheria hata baada ya Yesu kuja kivingine. usabato ni upotevu kwasababu wanatembea kimwili/kisheria hawatembei kiroho, wanaabudu kimwili hawaabudu kiroho, na matokeo yake hawatakuja kumwona Mungu maishani mwao. katika maisha yangu nilishaapa hata kwenye shule zao tu watoto wangu hawawezi kwenda kuzisoma kwasababu wasijewabadilisha akili wakawa kama wao. mwanamke aliyeanzisha hilo kanisa alipotoka (elen) na ameipotosha sana dunia. pole.
Kwahiyo Yesu alikuja akasema tufanye dhambi kisa alitufia msalabani na tunaokolewa kwa neema..ebu tumia hata akili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa sasa tunaenenda kwa roho, hatuenendi kwa sheria. sheria ile mnayoshika ninyi ni ndogo mno, zipo zingine ambazo Roho anatufundisha na hazipo kwenye Bible, kama ingeandikwa kwenye Bible isingetosha ile biblia. ndio maana hata Yesu alipokuja aliponya watu siku ya sababo ninyi wasabato mkamshika na kumhukumu kwamba anavunja sabato, ukitaka kunihukumu mimi kwa sheria anza na Yesu kwanza, ndio ubaki na nabii wenu Musa peke.
 
Yesu alipoanza kuhubiri alianza na tubuni mkapate kuokolewa..sasa mnaokolewa vipi kama hujaacha dhambi..na dhambi ni uasi wa sheria na sheria moja wapo ni amri kumi za Mungu..utahesabiwaje haki kama hujatimiza wajibu wa utii kisheria...hata ndio twaokolewa kwa neema sio tiketi ya kutenda dhambi.
Kama hujaelewa hilo basi endelea kutenda dhami ukisubiri neema.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu alipoanza kuhubiri alianza na tubuni mkapate kuokolewa..sasa mnaokolewa vipi kama hujaacha dhambi..na dhambi ni uasi wa sheria na sheria moja wapo ni amri kumi za Mungu..utahesabiwaje haki kama hujatimiza wajibu wa utii kisheria...hata ndio twaokolewa kwa neema sio tiketi ya kutenda dhambi.
Kama hujaelewa hilo basi endelea kutenda dhami ukisubiri neema.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
sheria mojawapo ni amri kumi ambayo mojawapo Yesu aliivunja (ikumbuke siku ya Bwana ukaitakase), ndio maana nimesema jiwe la kwanza mlianza kumrushia Yesu, sisi tunafuata tu. kwa kukusaidia, wamwabuduo Mungu halisi huwambudu katika Roho na kweli, Roho lazima awe ndani yako, sheria bila Roho ni upotevu. KESHO KAMUULIZA MCHUNGAJI WAKO KUHUSU HAYA, then lete mrejesho kama atakujibu:-

1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ.

2. Warumi 3:20 20 Kwa hiyo hakuna binadamu hata mmoja atakayehesabiwa kuwa na haki mbele za Mungu kwa kufuata sheria; bali sheria hutufanya tutambue dhambi. 20 Therefore no one will be declared righteous in God’s sight by the works of the law; rather, through the law we become conscious of our sin.

3. Warumi 3:27-28 27 Sasa kujivuna kwetu kuko wapi basi? Hakupo. Je kumeondo lewa kwa msingi gani? Kwa msingi wa kutimiza sheria? La. Kumeon dolewa kwa msingi wa imani. 28 Kwa maana tunasisitiza kwamba mwanadamu anahesabiwa haki kwa njia ya imani na wala si kwa kutenda maagizo ya sheria.27 Where, then, is boasting? It is excluded. Because of what law? The law that requires works? No, because of the law that requires faith. 28 For we maintain that a person is justified by faith apart from the works of the law.

kumbuka hapa audience ilikuwa wamataifa ambao walikuwa hawafuati sharia za Musa tangu zamani sasa wameingia kwenye ukristo na wayahudi wakaanza kuwahukumu kwamba lazima wafuate sheria na kula vyakula kwa mujibu wa sheria. ukimaliza kusoma hii mistari, tafuta sehemu yeney kitimoto tandika kisawasawa na soda baridi ndio urudi tubishane tena.
ciao!
 
sheria mojawapo ni amri kumi ambayo mojawapo Yesu aliivunja (ikumbuke siku ya Bwana ukaitakase), ndio maana nimesema jiwe la kwanza mlianza kumrushia Yesu, sisi tunafuata tu. kwa kukusaidia, wamwabuduo Mungu halisi huwambudu katika Roho na kweli, Roho lazima awe ndani yako, sheria bila Roho ni upotevu. KESHO KAMUULIZA MCHUNGAJI WAKO KUHUSU HAYA, then lete mrejesho kama atakujibu:-
Kumbuka Yesu alikiri nankisema wazi hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza..pia alishika sabato kama ipasavyo sheria na si sabato bali sheria zote alizi shika na kuenenda vyema nazo..ndio mana narudia kukuuliza mbona kila akimponya mtu alikua anamwambia aende salama na asitende dhambi tena..kama yeye alijua hakuna haja ya sheria bali neema?

Hebu tumia lojiki usikaze shingo kuteteta vitu usivyovielewa..

Tunaokolewa kwa neema ila hatukuambiwa tuvunje sheria haki kwa imani.

sijakuelewa, umeshaomba ushauri wa mchungaji wako kuhusu mistari hii: 1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ,

kama bado nenda tafadhali ndio urudi tubishane. .
 
Wala Yesu hakuvunja kushika sabato..bali alionyesha jinsi inavyopaswa kuitunza kwa kutenda matendo mema kwa wengine..ndio mana alitolea mfano wa ngombe akidondokea kisimani..kuonyesha yale ya muhimu kwaajili ya kusaidia na kuokoa sio kosa kuyatenda siku ya sabato.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Yesu alikiri nankisema wazi hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza..pia alishika sabato kama ipasavyo sheria na si sabato bali sheria zote alizi shika na kuenenda vyema nazo..ndio mana narudia kukuuliza mbona kila akimponya mtu alikua anamwambia aende salama na asitende dhambi tena..kama yeye alijua hakuna haja ya sheria bali neema?

Hebu tumia lojiki usikaze shingo kuteteta vitu usivyovielewa..

Tunaokolewa kwa neema ila hatukuambiwa tuvunje sheria haki kwa imani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kifupi ni kwamba, ninyi mnakimbizana na kivuli, sisi wenzenu tunaishi kwenye uhalisia.
 
sijakuelewa, umeshaomba ushauri wa mchungaji wako kuhusu mistari hii: 1. Wakolosai 2:16-17 16 Kwa hiyo msimruhusu mtu awahukumu kuhusu chakula au kiny waji, au juu ya kuadhimisha sherehe za dini, sikukuu ya mwezi mpya au siku ya sabato. 17 Maana hizi zilikuwa ni kanuni za muda tu au vivuli vya yale mambo ambayo yangekuja; lakini hakika ya mambo yenyewe ni Kristo.16 Therefore do not let anyone judge you by what you eat or drink, or with regard to a religious festival, a New Moon celebration or a Sabbath day. 17 These are a shadow of the things that were to come; the reality, however, is found in Christ,

kama bado nenda tafadhali ndio urudi tubishane. .
Sibishani ila nakueleza wazi kuwa..amri kumi hazijawahi kuvunjwa wala kuondolewa na Kristo..na hilo fungu ukitaka kuelewa vizuri kasome vizuri torati ya Mussa utakutana na sabato za kila namna tambua sabato manake ni pumziko..kulikua na sabato ya ardhi kuwa italimwa kwa miaka 6 wa saba isilimwe iachwe ipumzike hizo zilikua sabato pia.

Ila sabato ile ya siku ya Saba haikuwahi kuondolewa kwamwe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom