Nimeamua kuoa Msabato

Nimeamua kuoa Msabato

Mimi msabato wangu alinishinda walah alitaka niwe msabato japo wazazi wake hawakuwa wasabato kwa kweli nilishindwa kumbadilisha alikuwa mtu wa dini sana nammis sana the love of my life popote ulipo nakutakia kila lakher ulikuwa kila kitu kwangu, ulinifanya nikaona dunia nimeiwin lakini alipangalo mungu binadamu huwezi kutenganisha Asante kwa uwepo wako katika maisha yangu, ulinipa vitu na unifundisha vingi Asante mery wangu forever nitakukumbuka na kukuonbea heri maishani until the day i die.. !
 
Hapo kwenye kipengele cha kufata dini yake ndipo wengi huwa wanashindwa
 
Changamoto za ndoa zilizopo madhehebu mengine hata sabato zipo the same..usiandike kwa nadharia..in practice Mambo Ni tofauti..wasabato wa leo sio Kama wazamani maisha yao niyakujichanganya Sana...ukienda makanisa ya kisabato Kuna wimbi kubwa Sana la vijana wa kisabato kuoa nje na hata viongozi wanakiri Hilo...suala kuoa au kuolewa ukiangalia kigezo Cha usabato utafail nakwambia.....Mimi nimezaliwa ndani ya usabato lakini suala la kuoa Ni popote either ndani au nje ya usabato

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Demu wangu wa kisabato hajatoboa hata sikio, hana makucha marefu kama jini, hafugi manywele, havai suruali.

Ananijali sana.

Shida yake moja

Kuna baadhi ya vitu nikiongea the way anaperceive ilikuwa inaleta mgogoro. Pia zamani alikuwa kaukali fulani. Nikamwambia weee nitakuua, kwani ukiongea kiupole sitakuelewa?

She deserve kuwa wife.

Soon natangaza ndoa.
 
Utoe mwaliko wa hilo pilau
 
Rafiki yangu, binti wa kisabato ni mlevi wa hard liquor na anasmoke mpaka cigarettes kwa mabox! Mimi ananiuziaga kush akiwa anenda zake mazoezi ya choir!
Usabato sio kitu cha kucount on kihiiivyo.
Tabia ya mtu inakuwa influenced na mengi.
 
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;

1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.

2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo. Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.

3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu Wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake. Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.

4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana. Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.

5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu. Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.

Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana. Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi. English kuanzia D.
Naona unatafuta mtu wa kumuajiri shule yako binafsi na wala sio kuowa kama unavotuambia hapa.
 
Mkuu karibu kwenye dini ya haki.

Ukweli mnajitahidi sana kwenye hilo. Musilamu aliyeshika dini sana ya kiislamu anaishi maisha yaliyonyooka kuliko hata mchunganji wa kikristo ama padri aliyeshika dini sana ya kikristo.

Shida watu wa kati kati walioshika dini kidogo. Waisilamu wanakuwa washenz kuliko wakristo
 
Naona unatafuta mtu wa kumuajiri shule yako binafsi na wala sio kuowa kama unavotuambia hapa.

Mke ni mama na Mwalimu kwa watoto, hizo grade nadhani zimetumika kupima kama kichwani zimo zimo…. sio uoe zero kabisa kama coca aisee.
 
Nakuhakikishia hiyo ndoa ishavunjika tayari kama matarajio yako ni hayo.....sifa za mwanamke kuwa mke ni zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwamba ndoa ishavunjika kabla hata mchumba hajapatikana?!!!
 
a
Tatizo la ndoa sio kuchepuka tu, kama hujaelewa hiyo nukta basi ni kweli wewe bado boy.
Sasa academic status ya mwanamke kwenye ndoa yako itakusaidia nn?.... kama na ww ni dizain tu hauko serious,waambie waliooa wanawake wasomi wanavyopelekeshwa....ndoa n zaid ya unavyoijua ww
 
OF A TRUTH WE ARE STILL AN UNDERDEVELOPED THIRD WORLD COUNTRY,no wonder instead of thinking how to improve the lives of wananchi, the gava is busy charging people with fake terrorism charges, najua wengi hamutanielewa au cant connect what this person has written and what i have just said, bado bongo iko nyuma sana, kimaendeleo, kiafikira, na hata uwezo wa kuwa innovative and been able to think well, sasa c , d mmhhhhhh mungu saidia wanao
 
Wewe shujaa utatuwakilisha huko kwa Kamanda Sirro na DPP. Sisi wajinga bado tupo sana kwenye hili jukwaa
 
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;

1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.

2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama, mayai, biriani, pilau, cocacola, majani ya chai, maini, na vitu vingine vitamu yaani rojorojo. Badala yake mboga za majani, juice ya mwarobaini, maharage, na matunda vitashika hatamu. NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.

3. Nitakuwa na utulivu wa nafsi kwasababu Wife sharti lake kuu ni kumwacha awe huru na sabato yake. Isitoshe wachungaji wa kisabato sio kama kina Mwamposa ambao huwafanya mateka wa kiimani wake za watu.

4. Nina uhakika wa watoto wangu kuwa katika maadili mazuri kwasababu kanisa lina mambo mengi kwenye makuzi ya watoto. Kitu kama PF naunga mkono sana. Ila watoto wakiwa wakubwa nitapiga marufuku kuhudhuria camps za vijana kwasababu ya kashfa ya ngono iliyopo.

5. Nitaimarika sana kiafya kwasababu SDA wako vizuri sana kwenye miongozo kuhusu afya kwa waumini wao. Ikumbukwe vitu vyote wasabato wanavyosema tusitumie vina madhara ambayo yamethibitishwa kisayansi sema ni ubishi wetu. Kwa mfano kitimoto ni kitu hatari.

Kiukweli nataka nioe binti wakisabato ila kabla ya kuoa lazima nikague vyeti vyake. Kigezo cha ufaulu ni muhimu sana. Lazima mke wangu kwa O-Level awe na C ya hesabu au zaidi. English kuanzia D.
In short, mwanamke yeyote anayejiingiza kwenye hizi dini ni sawasawa na mateka tu...it's just a matter of time before naye ataanza kuliwa uroda na viongozi wake wa kanisa. Usipende sana kuamini wanawake wapenda dini, wamejawa na unafiki sana huku wakiwa wanajifanyia vitu vya chini chini.
 
Back
Top Bottom