Nimeamua kuoa Msabato

Nimeamua kuoa Msabato

Jana nimetoka kumla mke wa mtu msabato

Dunia uwanja wa fujo..your not safe
 
Mkuu naomba nikuunge mkono kabsa maana kwa sasa nko kwenye ndoa ya miaka 4 na Mke wangu n msabato safi kabsa.
1-Tangu nioe sijawahi ona soda home zaidi ya juice ya passion au maembe na matunda tunda ya msimu ambayo ipo tu hapo nyumban everyday tangu juma3 hadi juma3. Nyama n kuku tu na occasionally red meat ila green na herbs kama kawa. Rozela, beetroot, nuts na mbegu mbegu na ma
Duuh yaani una mke wa namna hiyo na bado unapiga show za nje

Kuna watu sijui mnataka nini

Kazi kweli kweli
 
Ujiandae na kuwa mbinafsi na mjuaji. Maana hizo ndiyo itikadi zao.
 
Hakika hata mimi siwezi fikiria kuoa binti ambaye sio msabato ,nimejifunza ni rahisi ndoto zako za mafanikio kutimia mapema kuliko dhehebu jingine
 
Nimetaka kutapika baada ya kuona hizi picha hasa hiyo ya juu imejifunua wazi. Nikikuta sehemu inauza kitimoto napita nikiwa nimeshika pua. Mnajitafutia uchafu na maradhi. Halafu kumbe biblia mnayojiita kwa jina lake (Christ's followers) imekataza kitimoto, pombe na uchafu wote!!
Usijaribu kuonja kitimoto hata kwa bahati mbaya. Ni nyama tamu zaidi
 
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;

1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.

2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu mama wenye nyumba hatataka kula kitimoto, rost nyama,
Wananzengo tumuambie au tumuache akajionee mwenyewe hao mabinti anaowatafuta.. NB: Usisahau siku hizi hawa tumii mafuta ya taa, wanatumia petrol...
 
Me namkumbuka sana mrembo wangu wa kisabato alikuwa anajua kupika balaa, akikupikia pilau kuku hapo mjomba noma sana. Sema ni kweli hawa watu ni wacha Mungu sana nakumbuka kabla ya tendo alikuwa anapiga magoti na kuomba wakati mm hapo nina vyombo vyangu kichwani nawaza mbunye tu. Mm ni mkatoliki na nakumbuka alininunulia hadi vile vitabu vya kikatoliki (shajara etc..) ili nisitoke nje ya mstari, alinipenda sana huyu binti basi tu tulikuja kushindwana baadaye. Daah huwa nammiss sana tulikuja kushindwana baadaye, akaja kuolewa na msabato mwenzake
 
Me namkumbuka sana mrembo wangu wa kisabato alikuwa anajua kupika balaa, akikupikia pilau kuku hapo mjomba noma sana. Sema ni kweli hawa watu ni wacha Mungu sana nakumbuka kabla ya tendo alikuwa anapiga magoti na kuomba wakati mm hapo nina vyombo vyangu kichwani nawaza mbunye tu. Mm ni mkatoliki na nakumbuka alininunulia hadi vile vitabu vya kikatoliki (shajara etc..) ili nisitoke nje ya mstari, alinipenda sana huyu binti basi tu tulikuja kushindwana baadaye. Daah huwa nammiss sana tulikuja kushindwana baadaye, akaja kuolewa na msabato mwenzake
Wataachana tu
 
kitimoto ni kitu hatari.
NB: Kitimoto nitakula kwa siri bila mke kujua.
1627606189373.png


Zifahamu faida, madhara ya kula ‘kitimoto’

Nguruwe ni mnyama anayeliwa na asilimia 38 ya watu wote duniani ambapo walaji wake wakubwa ni nchi Magharibi na Kusini mwa Asia, Ulaya, kusini mwa Jangwa la Sahara, America ya Kaskazini na Kusini, na eneo la Oceania.

Faida za nyama ya nguruwe kitaalam:

1. Ina vitamin muhimu katika mwili wa binadamu; ambazo ni B1, B6 and B12

2. Ina madini ya chuma ambayo husaidia kuimarisha mifupa.

3. Inaimarisha ngozi yako na kuifanya iwe laini.

4. Ina madini ya magnesium kwa wingi yenye faida kwa binadamu.

5. Ina protein ya kutosha inayosaidia ulinzi wa mwili.

6. Ina mafuta yanayotoa nguvu mwilini.


Madhara ya kula nyama ya nguruwe:

Licha ya faida zilizotajwa hapo juu, pia kuna hasara ya kutumia nyama hii ambayo ina sumu ya carcinogen inayosababisha kansa.

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani ( WHO) na The International Agency for Research on Cancer!! utafiti unaonyesha kuwa ukila nyama hiyo kila siku gramu 50 uwezekano kupata kansa unaongezeka kwa asilimia 18.

Pia inasababisha homa iitwayo Swine Flu kwa binadamu ambayo inatokana na virusi vinavyosababisha mafua kwa binaadamu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanyiwa na Centers for Disease Control and Prevention inaonyesha virusi vya Influenza H1N1 na H3N2 vinavyotokana na kiti moto, kusababisha maradhi ya mlipuko kwa nchi za bara la Amerika.

Vilevile, nyama ya nguruwe ina minyoo wajulikanao kwa jina la trichinella worm ambao ni vigumu kufa kwa joto hata la Centigrade 100.

Utafiti uliofanyiwa na WHO mwaka 1988, ulionyesha kitimoto iliyopiwa kwa joto la C. 104, asilimia 52.37 ya trichinella worm huwa wanabaki hai.

Wadudu hao wakiingia mwilini mwa binadamu husababisha ugonjwa ujulikanao kwa jina la trichinosis; ambao huwa na dalili zifuatazo:

(i) Homa kali
(ii) Kichwa kuuma
(iii) Kukosa nguvu
(iv) Maumivu ya nyama za mwili
(v) Macho kuwa rangi ya pink (conjunctivitis)
(vi) Kuvimba uso na kope
(vii) Kudhurika na mwanga
(viii) Kitimoto ina virus aina ya Hepatitis E virus (HEV) ambaye husababisha homa ya ini aina E

Wadudu wengine katika kitimoto ni:
(i) Virusi vya Nipah virus
(ii) Menangle virus
(iii) Viruses katika kundi la Paramyxoviridae
Wote hao huwa wana madhara kwa binadamu
1627606624543.png



Nyama ya nguruwe husababisha maradhi yanayokianza na madawa yenye kupambana na vimeleo vya magonjwa, yaani ‘Antibiotics’ na kwa mujibu wa WHO nyama ya hiyo pia ina minyoo aina ya Taenia solium.

Minyoo hii hutokana kutopikwa vizuri nyama hiyo. Minyoo hii ikiingia mwili wa binadamu husababisha matatizo ya mfumo wa fahamu (central nervous system) iitwayo neurocysticercosis, na kusabisha kifafa.

Asimilia 3 ya wagonjwa wenye kifafa huwa ni wale ambao hushambuliwa na minyoo hii ipatikanayo kwenye nguruwe.

Watu milioni 50 duniani wanaopata kifafa huwa ni walaji wazuri wa nguruwe.

Chanzo: globalpublishers
 
Back
Top Bottom