Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

[emoji23]
 
Kiwango nilichopokea mpaka sasa nimekifikisha salama mkuu...
Duh umeshindwa kuwapanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka kukupa mbinu kama 10 za kuwambia
Lazima moja wangenasa [emoji23][emoji23][emoji23]Sema ningekuambukiza utapeli wa kimjinimjini

Ova
 
Duh umeshindwa kuwapanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitaka kukupa mbinu kama 10 za kuwambia
Lazima moja wangenasa [emoji23][emoji23][emoji23]Sema ningekuambukiza utapeli wa kimjinimjini

Ova
Mkuu, ngoja mtu atoe tu kwa kuguswa ndani ya nafsi na moyo wake kwa maana haya mambo kuna leo na kesho. Leo mimi kesho mtu mwingine.

Kuna ndugu na marafiki wengine ninakaa nao huku mtaa wameshindwa kunipa support hata ya kusema pole tu ambayo inatosha sana.
 
wanaosema lako 3 haikai kwenye wallet hizo wallet zenu

ni zile za kuhifadhia card tu sio pesa kama lengo la wallet

hapa nilipo nimekunja 480k na wallet nimefunga kifungo

wallet ina business card kila kona,nikisema nipunguze hizi

business card wallet ina uwezo wa kupakia hadi 550k na ikafunga.

300k ya noti za 5000 ndio nyingi ila 300k ya misimbazi wallet

inafunga hata jirani hajui wallet ina nini ndani.
 
Pole sana! Siku nyingine jifunze ukiwa una kibunda kama hiko unachukua kama 50k unaweka kwa wallet hizo nyingine unaweka mfuko wa mbele wa suruali ni salama zaidi hasa kama umevaa jeans.
Ndivyo watu wengi hufanya,siwezi shindilia wallet 300k asee

wallet yake 50k tu,nyingine inawekwa mfukoni,staki kulia tena mimi...
 
Umepewa hela za rambi rambi unaetakiwa kumwambia kuwa umepoteza hela

si hao waliokupa,maana wao wameshatoa (si zao tena) maana hata ukiwambia

hawawezi kukudai kwasababu walishazitoa kwahyo hazipo katika hesabu zao tena.

Ongea na wapokeaji rambi rambi (wambie ukweli) umepoteza michango kiasi flani

ambacho ulitakiwa kuwafikishia,kisha wambie Hela utaileta na itasaidia chochote kitu

kwa wakati huo utakaoleta,hawawezi kataa wala kulalamika na yeyote ataelalamika

au kukuona tapeli atakua hana akili kwasababu wewe ni (middle man) ulikua na uwezo

ukanyamaza kimya kabisa usitoe taarifa upande wa wachangaji wala upande wa wapokeaji

na hana yeyote ambae angejua hela haijafika au imechangwa.Kitendo cha kusema tu

tukio lililo kupata tayari haupo ktk kundi la Tapeli au mjanja mjanja ila wewe ni Mwema na

usie na mbinu ovu hivyo Mungu akubariki akufungulie njia yakupata nyingine ukalipe deni lako.
 
Sawa kaka mkubwa, huu ushauri wako ni mwema sana mkuu. Asante...
 
Laki 3 itaeneaje kwenye wallet
Hivi Hizi hela mnaozoongea Laki 3 ni zipi haziwezi Tosha kwenye wallet????? Me huwa natoa LAKI 4 naweka kwenye wallet na inakaaa vizurii tuuu pamoja na Vitambulishoo ongezaaa na wallet inafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…