Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Kwa kifupi kabisa hiyo pesa umetombea,fanya juu chini pesa irudi,usilete usanii.Period
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]n kwel aisee
 
DUH natamani ningeokota mimi....[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] ningepata mtaji.
 
Jamani laki 3 inakaaje kwenye wallet?
Dogo unazingua ujue?😀

Katoe hela kabatini ulikoficha urudishe hela ya msiba.

Pole na msiba, by the way, hela kwanza!

Everyday is Saturday.................................. 😎
Mpaka umri huo hujawahi kutembea na 300k kwenye wallet?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kunichekesha alafu unashindwa kuamini kama kuna mtu kapoteza?

Tatizo wabongo wasanii ndio maana mtu akipata tatizo tunaanza kufikiria kwenye upande wa usanii kwanza
 
Bora wewe umepoteza mimi nimeliwa 300k kwenye betting.

Mamaeee sitasahau nilidhani ni rahisi hivyo. Ila dah!!!!! Bettinf ukienda na presha zako inakutoa roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…