Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Siku moja nilichukua CRDB laki mbili wakanipa vibunda viwili vya elfu moja moja,Kila kibunda noti Mia moja lkn Wala haikuonekana Kama nyingi nilitia tu kwenye mfuko wa suruali Wala haikutuna,
Pesa zikiwa mpya hazina shida kabisa
 
Poleee.

Ulifanikiwa kuipata pochi yako ?

Ushauri, usimpigie kura mgombea yeyote wa ccm, hawa ndio wamesababisha hadi unashindwa kupata hela ndogo kama laki 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana . Marehemu kama aliugua kisha mkashindwa kuchangia dawa zake basi amejichukulia mkwanja wa kutesa na totoz huko mbinguni 😜
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…