Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
-
- #341
Mfiwa hana neno kabisa mkuu, ila kimbembe kipo kwa hao wanaonidai 250,000/= yaoAlafu wakumbuke sio deni bali rambirambi ni kama pole tu unaweza ukaipata ama usiipate
Sawa ndugu yangu. Ninashukuru sana kwa ushauri wako mwanana.Kikubwa umesema ukweli na Mungu anatambua kama ndio kweli yako songa na maisha yako,na kama huwez kuirudisha ama huna bas inabid wasiwe na chaguo zaidi ya kusamehe
Ni nyingi sana kukaa kwenye wallet!? au mimi ndio sijaelewa!?Laki tatu unaweka kwa Wallet!? Hiyo ni wallet au handbag!?
Mhhh, pole sana mkuu kwa kupata changamoto kama yangu...Bora wewe umepoteza mimi nimeliwa 300k kwenye betting.
Mhhh, poleMamaeee sitasahau nilidhani ni rahisi hivyo. Ila dah!!!!! Bettinf ukienda na presha zako inakutoa roho
Hii bado sijawahi fanya mkuu...Mbona hata milioni inakaa kwa wallet.
Hii bado sijawahi fanya mkuu...
Labda bado mdogowewe hujawahi kutumia wallet nini
Mhhh, sawa mkuu...Kwanza poleee..
Ukifanikiwa kutoa hayo maelezo kwa wabongo na wakakuamini bila dot ya shaka...
Utakua nabii asiyejijua
Daaah, sawa mkuu...Hata marehemu hawezi kuamini, akisikia hayo maneno atafumbua mdomo,
Sawa boss...kwa ufupi hata ungesema umeangusha hio 50k yako tuu hamna atakae amini, sio tu hivyo, hata ambaye hajatoa mchango ni ngumu kuamini.
Mhh, hizi ndio changamoto za dunia mkuuMbaya uwe na ka sura ka kisanii sanii kama ka Mtanga, huchomoi...
Na kwenye msiba watu wasiposhiba, utaona vifungu vifungu vya watu vikikuangalia na kuoneshana kwa misunyo.
Ingekuwa imemtokea mwenzako jambo hili ungemfikiriaje na kidha ungemsidia vipi!? Kumbuka mfiwa anahitaji hiyo rambirambi katika kipindi hiki kigumu!Nimewaambia wanakataa kunielewa alafu ni umri kama wangu. Wamekomaa wanataka pesa zao aisee sio poa kabisa mkuu.
Ingekuwa imemtokea mwenzangu jambo hili ningemfikiria na kumsaidia kulingana na "how close someone is to me" kwa maana mtu anaweza kuwa ni ndugu yako lakini hauna imani na matendo yake tangia zamani hivyo hata akisema ukweli vp wewe utahisi kuwa huyu ni msanii tu...Ingekuwa imemtokea mwenzako jambo hili ungemfikiriaje na kidha ungemsidia vipi!?
Inaenea vizuri tu.....Laki tatu unaweka kwa Wallet!? Hiyo ni wallet au handbag!?
Ninatambua fika anahitaji pesa hii kama kifuta machozi chake na nitajitahidi kuhakikisha ninafidia hasara hii kubwaKumbuka mfiwa anahitaji hiyo rambirambi katika kipindi hiki kigumu!
Wanaobisha achana nao mkuuInaenea vizuri tu.....