Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Kabisa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Bro ingia deni tu, tafuta sehemu unayoweza kukopesheka. Kopa kiasi hicho Cha Fedha ili kuepuka fedheha. Hakuna maneno utayatumia ueleweke na hao watu hata mm nisingekuamini.
 
Ilikuwa ya mchango wa harusi,bw harusi nlikuwa namdai sasa nlipoletewa tu nkaona hapo hapo nijiongeze nlipata ya kuongezea Nauli
Pesa ilikuwa 760,000/ nilitambaaa mpaka Botswana
Hku nyuma nikawaachia kizaazaa a
Ila nilijilipa kwa style hiyooo
Okay, kama ulikuwa unamdai hapo sawa kwa maana kuna watu wanapenda kukopa ila kulipa mpaka mvutane mashati.
 
Mkuu tengeneza cinema umevamiwa na wasiojulikana na kuporwa huo mzigo,,pamoja na simu yako..
Usisahau kujijeruhi kidogo usoni na miguuni,,,
Utasema umepata majeraha kidogo wakati wa kujitetea..
Hakuna jinsi mkuu..
Tengeneza mashahidi wa kununuwa hata 2 au 3..
 
Kukaa inakaa sema ukitembea utaonekana nyuma tako moja ni kubwa kuliko mwenzie,na hata kukaa huwezi kukaa comfortable!!
Niliposoma madhara ya wallet kukaa mfuko wa nyuma huku imejaa manoti nimeacha kuweka mfuko wa nyuma.
 
Hahahha leo kweli umeangusha pesa hadi umesahau Msemo wako, pole sana.!

”USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO."
 
I was shocked, and still I am.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahha leo kweli umeangusha pesa hadi umesahau Msemo wako, pole sana.!

”USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO."
Kasahau hata kutuamkia wakubwa zake...
 
wewe ni mzee wa matukio ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…