Hii ratiba mbona umemention vizuri sana inaonesha wewe pia unatumia hiyo ratiba au uliwahi tumia suo bure. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. π π
Unawasikiliza washikaji, au malengo yako? We ishi nayo tu mkuu, mbona ipo sawa. Infinix naiheshimu sana kwenye betry (charge), na screen.Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua runguπ₯²π₯²π₯²View attachment 3451057View attachment 3451058
sio flagship...so zote Zippo sawaSamsung A series hazina utofauti na infinix.
Mmh,sidhani ... anyway ht km ya 22,ndo 25 kuwe na hot 60? 3 yrs? Bado ukweli ni kuwa inatoka Kila baada ya muda mfupi compare to wengine ambao ni mwaka Kwa mwaka...We ndio ulichelewa nunua simu,
Infinix hot 12 ilitoka 2022 na baada ya hiyo Infinix alienda kwa kumi kumi means 20,30 up to 60
Hizo si ndio flagship za Samsung na sasa wanaenda s25 hiyo S stands for SUPER SMART, lakini hizo A series ni Mid range, za bei rahisi na A ni Alfa ambazo zinatumika kama alternative ya flagship ambazo ni S series.Uwii Asante sn
Acha nibaki kwenye Samsung
HIvi S series Bado zipo? Maana hizo A nzo naona majanga
Duh A ni nyingi mpk nomaHizo si ndio flagship za Samsung na sasa wanaenda s25 hiyo S stands for SUPER SMART, lakini hizo A series ni Mid range, za bei rahisi na A ni Alfa ambazo zinatumika kama alternative ya flagship ambazo ni S series.
Unamaanisha nnsio flagship...so zote Zippo sawa
Najua ,nishapita huko madukani nimeona ,sipendi A series napenda S...Umwambie pia Samsung A56 bei yake kwa sasa ni milioni moja na laki kazaa
SS kwenye kujua og na fakeπSema kwa hiyo bei Google Pixel 6a, 6 na 7 used unapata kwanini ulichukua hiyo. Nimeona sehemu hata Note 20 Ultra unapata.
Nakutana tu na hizo ads unaweza kucheki kuhakikisha kuwa ziko kwenye condition mzuri na ni OG.
Narudia tena sina experience ya kununua kwake ila kama ningekuwa na mpango wa kuchukua simu kwa hiyo budget ningecheki haya mazaga. Jambo la muhimu ni kuhakikisha ni fake na hazina shida yoyote ya kioo.
View attachment 3452738
Yaani vioo vyao ni hasara kikipasuka. Nimebaki na simu mpya kama kopo tuu na ubaya havishuki bei mpaka mtu unaona bora ununue simu nyingine tuu.ni kwasababu wanatumia vioo vya high quality
πππππSamsung A series hazina utofauti na infinix.
TECNO nzuri kwa kiswaswadu. Sio π±.Basi hapo bora utafute tecno. Naonaga kama ni nzuri kulinganisha na kina infinixππ
Natumia aquous zero 6 5G natamani kubadilisha simu ila sijaona ya kui compete kwa simu za grade yake tena za kisasa, kwanza refresh rate 120 na kuendelea kitu ambacho sijaona kwenye simu nyingi hata kwa baadhi ya matoleo mapya, na kitakacho nifanya ni badilishe hii simu ni android version tu na si kingine! Bora niende xiaomiJmn anaejua Aquos phone zikoje ,au km infinix tu?
Inadepend na kipato cha mtu mfano mim natumia Samsung z fold million 1.5 Ni π₯π₯π₯π₯ nafunua tu kama kitabu aiseeeeeee tafuteni hela kuna simu kali kinyaaaama mtaacha kuangaika na ma infinix hayo.....
πππππBora usingekuja hapo JF kuomba ushauri, kuna wajuaji mnoo, utaichukia hiyo simu ngoja uone, na anaekushauri utakuta anatumia simu ya elfu80 za Kwa zahoto matelephone
Sasa unanunua simu ya bei ipi? Km zaidi ya hicho kioo, si bora ununue kioo tyuuh.?Yaani vioo vyao ni hasara kikipasuka. Nimebaki na simu mpya kama kopo tuu na ubaya havishuki bei mpaka mtu unaona bora ununue simu nyingine tuu.
Kwenye latest Huwa mnapata Nini hasa ambacho kinafanya hardware iwe Bora zaidi?Chaguo zuri lilikuwa Galaxy a16. Hapa ungepata Software major upgrade miaka 6.
Tatizo la hizi infinix, Tecno, nk hawafanyi software upgrade. Ina maana ukinunua simu ya Android 14 au 15...ndo imetoka hiyo huwezi pata latest android software.
πππ Daah!!!. Kwa binadamu wa Kitanzania, simu zuri zaidi ni ile inayokaa na charge-umeme kwa mda mrefu kwa sababu ,
. Asilimia 95%, hawajui matumizi ya simu, zaidi zaidi ataingia tiktok - fb - WhatsApp - Instagram na porn sites baada ya hapo anamalizia na PUNYETO .. π π