Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Kwa hiyo we dogo unajikuta mjanja kuja kuniandikia huku au sio ? Ngoja nirudi nyumbani utanitambua .
Uzuri hajuagi kutumia mitandao so sina mashaka hata jf hajawai isikia
 
Tatizo ni mama. Miaka 62 mbona bado sana. Kama mama hamtaki, anaweza kumuondoa vizuri tu. Lakini inaonekana ni kipenzi cha maza. Wazazi wanaharibu sana watoto​
Yaani hapa nilipo nina hasira huwezi amini anataka sisi ndio tusimame mahakamani anasingizia yeye kusafiri.. mara anawaambia maafande akae wiki mbili atakuwa amejifunza
Mara anatuambia tutapata faida gani akienda jela amesahau kuwa anatishia kutuua
 
Mimi nafikiri nihame tu nyumbani wakiuana nisiwepo siwezi kutumia nguvu nyingi kwenda mpk polisi halafu mtu anakataa tena mtoto wake kufungwa aisee πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Yule kaka aliyemdunda akapoa anahitajika. Mpeni kandarasi ya kumdunda huyo mkandarasi maradufu tena ikiwezekana kila baada ya miezi miwili kwa sababu mmeshajaribu kila kitu kimeshindikana kasaoro kipondo
Mama hataki mwanae apigwee
 
Wahi polisi sasa hivi vituo vipo wazi waje wamchukue atawaua kweli km mpaka mjumbe anamvimbia huyo hafai akalale selo na wakorofi wenzie huko wakampasulie mayai
Kalala polisi mama hataki tena waende mahakamani anataka wamuweke week 2 selo akitoka atakuwa kajifunza

Wakati huyu ni mtu ambae anaweza lala selo hata mwezi Mzima na bado habadiriki
 
Jela sio chuo jela sio shule umchukue mtoto wako umpeleke?!

Tena anaweza akatoka huko akiwa kichaa plus akawa mtu mbadi..

Kuna jamaa mmoja nae alidekezwaga ivyo ivyo..ma BANGE na ulevi mpaka akawa ana mbaka mama yake MZAZI..ni ukichaa wa hatare
 
Mimi nafikiri nihame tu nyumbani wakiuana nisiwepo siwezi kutumia nguvu nyingi kwenda mpk polisi halafu mtu anakataa tena mtoto wake kufungwa aisee πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Jana si alikamatwa? Mmeishia wapi?
 
Hakuna suluhu utakavyo fanya mpaka mama yako afe.................

Hayo matatizo huyapitii peke yako, jitenge nae na uishi kwa amani.

Jiandae kuitwa majina Mabaya
 
Mimi nafikiri nihame tu nyumbani wakiuana nisiwepo siwezi kutumia nguvu nyingi kwenda mpk polisi halafu mtu anakataa tena mtoto wake kufungwa aisee πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Kama hujajipanga usiondoke. Hakikisha mambo yako yanaweza kwenda vizuri lakini pia angalia mama yako wa miaka 62 kama anajimudu au anahitaji uwepo wa mtu. Ila mwambie wazi mama hutaki utani na bro kama hataki kubadirika utamuweka ndani akianza kukuletea fujo au wapangaji.

Huyo ndio roho ya mama yenu hakuna namna. Solve tatizo wisely usipaniki
 
Jela sio chuo jela sio shule umchukue mtoto wako umpeleke?!

Tena anaweza akatoka huko akiwa kichaa plus akawa mtu mbadi..

Kuna jamaa mmoja nae alidekezwaga ivyo ivyo..ma BANGE na ulevi mpaka akawa ana mbaka mama yake MZAZI..ni ukichaa wa hatare
Aende akafungwe huko pumbavu sio huyu manzi anakuja kutupigia mikelele hapa waende wakamsweke ndani shenzi au mpaka wakate vichwa?
 
Yaani hapa nilipo nina hasira huwezi amini anataka sisi ndio tusimame mahakamani anasingizia yeye kusafiri.. mara anawaambia maafande akae wiki mbili atakuwa amejifunza
Mara anatuambia tutapata faida gani akienda jela amesahau kuwa anatishia kutuua
Nafikiri hii ndio ilikuwa concern yangu na ya wengi toka mwanzo. Utatengeneza uadui na mama. Kuna wakati inafikia kama familia mnakubali tatizo kuwa mnalo na halitawaondoka. Jambo la muhimu ni kuhakikisha usalama wenu hauvurugwi.
 
Kalala polisi mama hataki tena waende mahakamani anataka wamuweke week 2 selo akitoka atakuwa kajifunza

Wakati huyu ni mtu ambae anaweza lala selo hata mwezi Mzima na bado habadiriki
Kalala polisi lini leo au lini? Usituchanganyie habari hapa km alilala polisi zamani nendeni polisi afungwe hata miezi 6 jela ndio akili itamrudia bila hivyo atakuja kuwaua huyo endeleeni kumchekea au mnataka muonekane kwenye TV mkililiwa na ndugu zenu baada ya huyo mibange kuamua kuwaua? Km kauli zake ni kutishia kuua nawaambia ipo siku isiyo na jina kweli atawaua endeleeni kumchekea mnadhani anatania? Endeleeni kuchekea ujinga km anadharau mpaka Serikali balozi nyumba 10 mwenyekiti Serikali ya Mtaa wote anawadharau na anatishia kuua sasa anasubiria nini uraiani atawaua kweli huyo huyo sio wa kukaa uraiani ni wa kufungwa jela
 
Kalala polisi mama hataki tena waende mahakamani anataka wamuweke week 2 selo akitoka atakuwa kajifunza

Wakati huyu ni mtu ambae anaweza lala selo hata mwezi Mzima na bado habadiriki
Mpelekeni polisi haraka sana akafungwe jela atakuja kuua hapo nyumbani kwenu kisha mtaanza kulialia Mama Samia Serikali fyokofyoko sasa hivi anafanya ukorofi yule aliemchinja mtoto Mbezi kwani alianzaje na kweli akaja akachinja kweli
 
Issue ndogo sana, mpeleke polisi mfungulie mashtaka ya kutishia kuua. Honga polisi/mahakamani mpaka afungwe na awekewe kizuizi asiikaribie nyumba ndani ya mita mia wala asiwakaribie nyie popote mnapokuwa ndani ya mita mia.
Miaka over 40 uzee wote huo? Mama naye anastahili kulaumiwa kwani upuuzi anaoufanya unatokana na malezi aliyolelewa. Kama uliyoeleza haujatia chunvi huyo hata akifa ni poa, yaani hapo ungekodisha wahuni wangemtoboatoboa na kumkata mguu mmoja au miguu yote miwili asiponyooka unawakodisha tena wanamkata na mikono.
 
Kalala polisi mama hataki tena waende mahakamani anataka wamuweke week 2 selo akitoka atakuwa kajifunza

Wakati huyu ni mtu ambae anaweza lala selo hata mwezi Mzima na bado habadiriki
Muda ni huu iteni polisi wampeleke ndani akakae jela kwanza lasivyo atakuja kuwaua kweli endeleeni kuchekea ujinga halafu mkishauliwa mnaanza kulialia Mama Samia Serikali pumbavu zenu muda si huu wa kumtia nguvuni mnao mnamchekea chekea atawaua kweli endeleeni kumchekea mnachekea ujinga pelekeni polisi akafungwe kwanza kutishia kuua tu ni kosa Kisheria yaan hata kwa Maneno na Vitendo ikithibitika anaenda kuozea jela mpelekeni polisi mkiendelea kumchekea atawaua kweli nawaambia mimi na akishawaua na hamjachukua hatua yoyote ya kisheria msije kulialia humu maana tulishawaambia wala msilie mbele ya Camera Mama Samia Serikali mtusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…