Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Huyu wa kwetu kazi anapata na ana kibali cha kupata kazi maana ni mbobevu kwenye kuendesha hayo mavijiko lakini hakai ana haribu kazi kila atakapoenda kufanya kazi anawekwa ndani… na sasa hivi hii kazi anaenda kuipoteza sio muda mrefu
 
Cha muhimu hapo subirini aje kumuua mmoja kati yenu. Uwezekano mkubwa ni kuwa ataanza na mama. Kuna msiba unakuja hapo kwenu. Ninashauri mweke mazingira ya kwenu vizuri ili wale wanaopigaga picha nyumba za watu msibani wasije kuwadhalilisha kwa kupost. Mama aandike wosia maana kama atauwawa mtasumbuana kwenye mirathi.
 
Endeleni kulea watoto bila baba zao na wapo hai mkifikiri watakuwa Kama daimond, hizo Ni laana za baba yake hujui alifanyiwa nini na huyo mama yenu!
 
Wakiamua kumthibiti wanaweza.
Mkuu kuna kaka yangu mmoja huwaga tukimpigia simu akija ni atamtembezea kichapo nusu kufa… sasa kwa jinsi anavyopigwa ni amezoea mwili wake mwisho wa siku tusije tukamuua kwa kumpiga maana hata nguvu za kurudisha ngumi hana
 
Usiseme hivyo mkuu

Hata hivyo hapa anapokaa ni kwetu sisi ni kwa baba yetu na ni nyumba ya Mzee ambayo alishaacha urithi kwa ajili ya sisi watoto zake hivyo share yake haipo

Hapa anakaa tu kwasababu ya mama na ni ndugu yetu hatuwezi kumfukuza
 
Hizo ni imani kama imani nyingine tu, ni sawa na wanaoamini kwamba kila mtoto huja na riziki yake mtu anazaa watoto nane halafu wanakuwa masikini wa kutupa, mtoto anarithi akili toka kwa wazazi wake bila kujali hao wazazi walimzaa mapema au la maana mifano ipo na tunaiona
 
Endeleni kulea watoto bila baba zao na wapo hai mkifikiri watakuwa Kama daimond, hizo Ni laana za baba yake hujui alifanyiwa nini na huyo mama yenu!
Baba yake mwenyewe tu hamtaki alishaenda kwao akataka kuwaua wale ndugu zake kwa baba ake
 
Vipi kama baba yao alifariki, mna upumbavu mwingi sana, kuna wababa wengi wanaachiwa watoto wao wawalee, wanaishia kuwabaka, au hao watoto kuharibikiwa kabisa
Mbona unatukana watu Mkuu kosa lipo wapi hapo kuwa mstaharabu
 
Mkandarasi gani mwehu ivo...huyo kule uchagani anachapwa viboko 12 na anawekwa lupango si chini ya miezi 3
 
Hata yeye mwenyewe ameshasema hawezi kutoka nyumbani maana akienda mbali na nyumbani watamuua…
Na hapa mtaani wanamuacha kumpiga kwa sababu ya lile jina la mtoto wa fulani

Huyu si mtu wa wizi wizi anafanya tu shughuli zake halali ila shughuli iliyopo Ndio hiyo kutishia kuua kutembea na mapanga barabarani yaani ni noma
 
Mkandarasi gani mwehu ivo...huyo kule uchagani anachapwa viboko 12 na anawekwa lupango si chini ya miezi 3
Anatutambia yeye ameshalala sana polisi na ni ukweli huyu kwa mwaka analazwa selo hata mara 50 kwaiyo haogopi labda kufungwa ndio hajawai
 
Baba yake mwenyewe tu hamtaki alishaenda kwao akataka kuwaua wale ndugu zake kwa baba ake
Sema mlimuelekeza kwao baada ya kuharibika,
Katika single mother kumi utapata mmoja aliyelea mtoto katika maadili tena Mara nyingi Ni wale wanawake waajiriwa na asiwe mlev!
 
Cha kwanza mpelekeni Sober house aache pombe na bangi. Ndio muendelee na mengine.
 
Jaribu mkuu!!Jaribu Kwa sana!!
 
Sema mlimuelekeza kwao baada ya kuharibika,
Katika single mother kumi utapata mmoja aliyelea mtoto katika maadili tena Mara nyingi Ni wale wanawake waajiriwa na asiwe mlev!
Sidhani hawa wapo wawili kwa baba yao.. Mbona kaka yangu mkubwa hayupo Kama yeye.. na ndugu zake wanamtambua na wanashirikiana

Huyu ni kama alirogwaa
 
Huyu wa kwetu kazi anapata na ana kibali cha kupata kazi maana ni mbobevu kwenye kuendesha hayo mavijiko lakini hakai ana haribu kazi kila atakapoenda kufanya kazi anawekwa ndani… na sasa hivi hii kazi anaenda kuipoteza sio muda mrefu
uku sisi akizngua ni michango kwa ndugu tu ufumbuzi hamna ni shida waganga tu kama wote
 
Ndio tupo kwenye hiyo hatua
 
Je akiwa hajalewa anakua pia Ana fan ya fujo .?
Sidhani hawa wapo wawili kwa baba yao.. Mbona kaka yangu mkubwa hayupo Kama yeye.. na ndugu zake wanamtambua na wanashirikiana

Huyu ni kama alirogwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…