Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Shivji nae kawaingiza watanzania chaka baya. Kaitafsiri IGA wakati biashara zinakwenda kufanyika kwa kupitia HGA zitakazoandikwa kati ya DW na wadau wa biashara za bandari.Kwamba wewe una uelewa wa sheria kuliko Shivji?Muda utaongea.
Uzuri pia tumeweka risiti ya hili.
wewe zilete hapa tuzione, hizo nyingine ni stori tu. Hata mimi naweza kukwambia alisaidi mikataba 100 na nimeiona kabisa, je utaniamini na kuja kueneza hizo rumors?Wapo watu wanazijua zote 30, na wameziona pia
Sikiliza wewe kilaza, hujui unachotetea hapa...hebu sikiliza na hii!Azimio la bunge kuhusu pendekezo la kuridhiwa mkataba. Maana yake hicho kilichopo hapo ni agreement ya IGA, mikataba halisi inatengenezwa kwa makubaliano ya pande mbili, DP na wadau wa bandarini kuhusu biashara husika inayotajwa kwenye hiyo IGA.
Ndio maana tunataka ajiuzulu mara moja mwenyewe na hizo MOU zitangazwe non and void. Naona ni kama yule malkia huihui wa wagagakikikoko ,.. wale tulisomaga enzi nzile🤣Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Huyo mpuuzi anakwenda kushindwa mahakamani tena mapema sana. Hana hoja kwa mtu makini mwenye kupima masuala kwa akili.Sikiliza wewe kilaza, hujui unachotetea hapa...hebu sikiliza na hii!
View attachment 2678418
Nimecheka kama mazuri vile.Halafu zote hizo zije kuitwa HGA huku IGA ikisimama....manake sidhani kama kutakuwa na IGA 30 zitakazo kuja kuridhiwa na kupitishwa na Bunge.....tumeona Phase 1 Project 1 sasa tukiambiwa zimo zote mumo? Phase 1-30 Project 1-30 halafu ukizingatia hii phase one peke yake yaani Early Project imechukua miaka miwili, kiunagaubaga Miaka 30 ukiondoa miaka ya Miradi yenyewe! Halafu tukisema milele wanasema hakuna mstari au kipengele kinachosema miaka 100! Ebo!
Nitaivaa chupi yangu kichwani na kurandaranda uje sasa uniite Chizi uone
Ndugu upo?Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichosainiwa na kupitishwa bungeni ni nini?Mkataba upi wenye vipengele vinavyotuingiza utumwani?. Hiyo ndiyo kazi haramu inayofanywa na wanasheria kina Rugemeleza na Mwabukusi, kuwadanganya watu wakiwa na nia ovu kwa bandari na maslahi yake mapana.
Hakuna mkataba wowote uliosainiwa kwani mikataba ya kibiashara inatokana na makubaliano yaliyopitishwa na bunge. Azimio lililopita bungeni halina nguvu kulingana na kile kinachokwenda kuandikwa kwenye mikataba ya biashara inayokubalika na pande zote mbili na kuwa mwongozo wa biashara ya hapo TPA.
Inter Governmental Agreement au kifupi ni IGA. Ni framework tu.Kilichosainiwa na kupitishwa bungeni ni nini?
Uelewa ukiwa duni wa nini kinachoendelea, kuwaza kuibiwa ni kitu cha kawaida.Ndugu upo?
Tanganyika imeuzwa kama kondoo uarabuni.
Umeona wamepeleka muswada bungeni kubadili sheria kusudi wamiliki kila kitu.
Nauliza tu ‘ Kwani wananchi ni uoga upole au kutokujali’
Kesi haiwezi kufunguliwa mahakama za East Africa?
Wabunge wanajua wanachofanya kweli?
Inaumiza mweh!
Hujafanya utafiti basi usilopokeKunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Achana na huyo kilaza, hakuna upumbavu kama kuamini unajua kumbe hujui kitu. Kilaza wa namna hiyo ni kumuacha tu alivyo, eti framework, kama anavyodai huyo kilaza, nayo ilipelekwa bungeni kujadiliwa na kuridhiwa!Nini tofauti ya Agreement na mkataba?
1.Shirika la posta,Kumbe umesikia, nikajua umeziona
Makubaliano huwa chanzo cha mkataba kutiwa saini kati ya pande mbili. Wewe usiye kilaza mbona huji na hoja zako zenye kueleweka?.Achana na huyo kilaza, hakuna upumbavu kama kuamini unajua kumbe hujui kitu. Kilaza wa namna hiyo ni kumuacha tu alivyo, eti framework, kama anavyodai huyo kilaza, nayo ilipelekwa bungeni kujadiliwa na kuridhiwa!
Kaleta umbea humu jukwaani.Hujafanya utafiti basi usilopoke