Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

Kama umemaliza kaa kimya watu wengine wana wapa mengi kuzidi hayo hadi ya kitandani.
 
umemuoa?? kuna mama mmoja naye nfugu yangu ni mkali balaa kwa house girls yaani karibu kila siku lazima awafokee.kuna house girl alikaa week moja tu akaomba kuondoka
 
Kwa hari hii uflume wa mbingu unakuhusu huko mbeleni
 
hakuna cha maana ulicho mfanyia kwasababu mwenye umekiri kuwa, "ulitumia mshahala wake ukaongeza kidogo"
 
Kuna mmoja ametuahidi kutuletea stori ya pili jinsi alivyo mgegeda binti wa kazi.
Aibu yake mwanaharamu.
 
Ulimchukuliaje wife wako then??
 
Mara nyingi wanawake hutumia hisia katika kufanya maamuzi yao. Tusiwalaumu kwa hili ingawaje
 
Pole mkuu kwa kupata mwanamke wa hovyo namna hiyo
 
Umenistua kidogo nilijua umemuoa.

Safi sana mkuu, huu ni mfano mzuri sana wa kuigwa.
 
Hongera sana. Allah akulipe badala. Ni wachache sana watu wa aina yako!
 
Nafurahi sana kuona watu wenye "roho kama yangu" Bado mpo, kiukweli, huwa naumia sana kuona mtoto wa ndani anateseka. Yamkini ni jinsi nilivyoteswa utotoni.
Mungu akubariki sana.
 
Mungu akubariki boss [emoji120][emoji120]
 
Haha kuna Dada juzijuzi aliandika kwenye Uzi kuhusu kampuni ya wafanyakazi wa ndani, katika changamoto ya kwanza kuiwaza ilikuwa hii.
 
Aghhh[emoji849]nlijua umemngegeda[emoji849]najuta hata kuusoma huu uzi mwanzo mwisho[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…