Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Kwahiyo nyie sio mwili mmoja
We jidanganye na mambo ya mwli mmoja utakuja kufurahi!......wake wa siku hizi nao wana viwanja ,nyumba na account ambazò mume hujui!...hapa siku hizi ni urafiki wa simba na swala!..na hivi ndo ndoa zinadumu we lete baby baby I love you uachwe
 
😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅ahaaa

Haha

Aaah haha
Mmmh cough cough 😮‍💨 😮‍💨😁🫢

Mambo mengn ni kama ya kitoto
 
Wewe ni kenge.
 
Kwanini unachukua risiti? CRDB ukitoa hela kwa ATM si wanatuma sms na balance iliyobaki? Vinatosha.. hamna haja ya kubebana na vikaratasi
Nilitaka kubak na risiti Kwa siku hiyo hua naangalia palepale mara zingine
 
We jidanganye na mambo ya mwli mmoja utakuja kufurahi!......wake wa siku hizi nao wana viwanja ,nyumba na account ambazò mume hujui!...hapa siku hizi ni urafiki wa simba na swala!..na hivi ndo ndoa zinadumu we lete baby baby I love you uachwe
Kuishi kimachale muhimu
 
Huo ni uoga wa maisha, kama yeye anaficha ni yeye,wewe weka baadhi ya mambo wazi kwa ajili ya familia yako

Kuna watu wamekufa na mali zao wamenufaika nazo watu baki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…