UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mbowe, Komu, Lema, unawapa jukumu la kushika na kutunza fedha za chama, kweli? Huko ni kuwatafuta lawama tu.Suala la fedha za join the chain litawachafua sana cdm. Huyu ni kiongozi mwingine wa cdm anashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu fedha za join the chain.
This is a myth! it negates all hard-core scientific avenues of life as propounded by evolution, and particularly genetics! Nimastory ya biblia ambayo ni ongo. Living cell lazima ifike mahali and eventually will undergo atrophy!Zamani watu walikuwa wanaishi mpaka umri wa miaka 700,
Propaganda za ccM kwani waLisema ni za nini?Suala la fedha za join the chain litawachafua sana cdm. Huyu ni kiongozi mwingine wa cdm anashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu fedha za join the chain.
CCM ni laana Kwa Taifa wala hakuna maneno mengine ya kuwazungumzia hawa mashetani.Umenena! samahani basi..... CCM ni vioja. sasa kila kitu wanasingizia MVUA! ...umeme, maji kukosekana, sukari , mchele, mafuta kupanda..............kila kitu wanasingizia mvua zinazonyesha sasa! Ukiwa na watu kama hao...unajuta kuzaliwa!
Obbiter: I am a retired senior citizen, a UDSM graduate of 1983!
tizo ni kuwa watanzania hawakuzoea naked truth! tumelelewa kwenye kulemba lugha. Lema is not a man of that nature na hicvyo utamuona kama ulivyomuelezea
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujuwa huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Sugu na Lema ni vijana, sihitaji Ligi katika hili.Dah, PhD wazo lako ni zuri mno, lakini umekosea kitu kimoja tu; hivi Lema na Sugu ni vijana?! Au wewe una umri gani? Au umri ni relative term factor? Kama ni hivyo, basi uko sawa. Zamani watu walikuwa wanaishi mpaka umri wa miaka 700, kwahiyo mtu mwenye umri wa miaka 85:aliitwa kijana!
Absolutely.Ila ni wazi Lema ana akili kuliko wapumbavu wengi waliojazwa na ccm pale Bungeni.
Kanuni ya Fedha wekeza Fedha yako Kwa watu waliofanikiwa kifedha, usije kuisahau hii kanuni itakusaidia kwenye maisha yako.Mbowe, Komu, Lema, unawapa jukumu la kushika na kutunza fedha za chama, kweli? Huko ni kuwatafuta lawama tu.
Hapo chadema ilikula kwao!
Kwanini ccm huko hakuna Street thugsHizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Wapo lakini sio "ma think tank " ya chama kama ChademaKwanini ccm huko hakuna Street thugs
Ova
Sina swaliSugu na Lema ni vijana, sihitaji Ligi katika hili.
Hata Hussein Mwinyi ni Rais kijana.
Sugu Moto ChiniSugu ni rapa.
Since the beginning of the planet (the Earth) till now, there have been a significant changes (transformations) on the Earth! Human and animals have been changing the patterns of living, including the age!This is a myth! it negates all hard-core scientific avenues of life as propounded by evolution, and particularly genetics! Nimastory ya biblia ambayo ni ongo. Living cell lazima ifike mahali and eventually will undergo atr
akili timamu ni pamoja kutambua mipaka ya kila jambo.Atlest Lema anaitumia akili yake kwa uhuru, hajashikiwa akili na yeyote wala imani yake, penye zuri atasifia bila kujali nani anayemsifia, na penye baya atakemea bila kujali nani anamkemea.
Huwezi kuwa na akili timamu ikiwa huitumii kwa uhuru, unakuwa huna tofauti na panya aliyefungiwa ndani ya box.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Propaganda za ccM kwani waLisema ni za nini?