Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

Suala la fedha za join the chain litawachafua sana cdm. Huyu ni kiongozi mwingine wa cdm anashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu fedha za join the chain.
Mbowe, Komu, Lema, unawapa jukumu la kushika na kutunza fedha za chama, kweli? Huko ni kuwatafuta lawama tu.
Hapo chadema ilikula kwao!
 
Zamani watu walikuwa wanaishi mpaka umri wa miaka 700,
This is a myth! it negates all hard-core scientific avenues of life as propounded by evolution, and particularly genetics! Nimastory ya biblia ambayo ni ongo. Living cell lazima ifike mahali and eventually will undergo atrophy!
 
Lema tunaomuona sasahivi Kwenye ulingo wa siasa ni mtu mwenye hekima na kipaji cha Uongozi historia yake huko nyuma haitusaidii maana Hata kina Trump walikuwa na madhaifu yao na Ronald Reagan hakuwa na digrii au diploma lakini alikuwa raisi wa USA🇺🇸 aliyeleta mafanikio makubwa ya uchumi Mpaka Leo ni mfano .

ukifiatilia x account yake anakosoa na anashauri Hata kwa viongozi wakuu wa nchi.
Anaonyesha ni mcha Mungu na anaijua bible vizuri .
Na mtu akikukosoa au kukupinga msikilize kwanza Kabla ya kumchukia au kumfurahia .
Ukimlinganisha na mbowe utakosea na hawawezi kufanana maana kila binadamu ana madhaifu yake na ubora wake ni kama Alama za vidole au mboni ya jicho .
 
Umenena! samahani basi..... CCM ni vioja. sasa kila kitu wanasingizia MVUA! ...umeme, maji kukosekana, sukari , mchele, mafuta kupanda..............kila kitu wanasingizia mvua zinazonyesha sasa! Ukiwa na watu kama hao...unajuta kuzaliwa!
Obbiter: I am a retired senior citizen, a UDSM graduate of 1983!

tizo ni kuwa watanzania hawakuzoea naked truth! tumelelewa kwenye kulemba lugha. Lema is not a man of that nature na hicvyo utamuona kama ulivyomuelezea
CCM ni laana Kwa Taifa wala hakuna maneno mengine ya kuwazungumzia hawa mashetani.
 
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujuwa huku ukidhani unatumia freedom of speech.

View: https://youtu.be/SS75kUzQgZU?si=UthyS5QvYhNLT-BU
 
Dah, PhD wazo lako ni zuri mno, lakini umekosea kitu kimoja tu; hivi Lema na Sugu ni vijana?! Au wewe una umri gani? Au umri ni relative term factor? Kama ni hivyo, basi uko sawa. Zamani watu walikuwa wanaishi mpaka umri wa miaka 700, kwahiyo mtu mwenye umri wa miaka 85:aliitwa kijana!
Sugu na Lema ni vijana, sihitaji Ligi katika hili.

Hata Hussein Mwinyi ni Rais kijana.
 
Mbowe, Komu, Lema, unawapa jukumu la kushika na kutunza fedha za chama, kweli? Huko ni kuwatafuta lawama tu.
Hapo chadema ilikula kwao!
Kanuni ya Fedha wekeza Fedha yako Kwa watu waliofanikiwa kifedha, usije kuisahau hii kanuni itakusaidia kwenye maisha yako.

Weka pembeni chuki zako dhidi ya Wachaga huwezi kuwapunguzia chochote, ni Sawa na kuwapiga vita Wakinga huwezi kuwashusha kibiashara.
 
Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Lema ni mganga njaa ...aliekuwa street thug akaja kudondokea kwenye siasa...Hana cha ajabu zaidi ya kuwa mkosoaji Tu kama wakosoaji wengine...
Kukosoa hakukufanyi kuwa kiongozi...
Lema..ni overrated Sana na wanachadema
Kwanini ccm huko hakuna Street thugs

Ova
 
Hao wapiga kelele wengi tunajuana. Asilimia kubwa michongo tu! Mpigeni chini Lema kwenye teuzi za ubunge muone kama atabakia kuwa kamanda.

Siasa ni ujinga bora hata wazee wanasiasa wa zamani walikuwa na elements za uzalendo
 
This is a myth! it negates all hard-core scientific avenues of life as propounded by evolution, and particularly genetics! Nimastory ya biblia ambayo ni ongo. Living cell lazima ifike mahali and eventually will undergo atr
Since the beginning of the planet (the Earth) till now, there have been a significant changes (transformations) on the Earth! Human and animals have been changing the patterns of living, including the age!

This is because the living things (including plants) were subjected to different phases of the environment in which they were living, due to changes on the earth, including climatic changes.

As the earth was keeping changes, so the living things on it! Even the sizes of the then living things were quite different from those we see to date.

I hope you have heard that there was a reptile specie which had a length of 12M, taken by Germans (our country is in constant demand of it), but we don't have such animals today. This is due to changes happening on the earth.

Therefore, we can say that the changes on the earth are the stimuli to changes of living things on it! These changes include the living age!
 
Atlest Lema anaitumia akili yake kwa uhuru, hajashikiwa akili na yeyote wala imani yake, penye zuri atasifia bila kujali nani anayemsifia, na penye baya atakemea bila kujali nani anamkemea.

Huwezi kuwa na akili timamu ikiwa huitumii kwa uhuru, unakuwa huna tofauti na panya aliyefungiwa ndani ya box.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
akili timamu ni pamoja kutambua mipaka ya kila jambo.
sio unaongea au kuandika kila kinachokujia.

huyu juzi katoka kumwambia mtu aspojirekebisha atakufa,sasa mtu mwenye akili anakuwaje na fikra kwamba kufa ni adhabu ya waovu??
 
Back
Top Bottom