Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa




"So inatokea ukisalimiana naye mara mbili tatu ukamtoa out. Basi... Anakuganda. Na anakuambia mapema tu ana mume na watoto au mtoto. So mnaanza kuibiana"

Si rahisi sana na sioni ni namna gani mwanamke anyejielewa atatoka out kirahisi baada ya wewe kumsalimia...

Neno wanawake ni general, sana, kunao hata unaweza lala nao siku hiyo hiyo.

Mwanamke mwenye kazi, busy, na familia, kumtoa out baada ya kumkuta baranarani, wapo, ila malaya.
 
Ni tabia mbaya sana na isiyofaa. Na ndo maana nawaasa vijana watulie. Mimi nimewaelezea katika hali ya kutafuta ukweli nimepitia mengi sana. Ila ni jambo la kupingwa sana
Jambo la kupingwa alafu we uko mstari wa mbele kulifanya
Tuachen unafki

Jambo la kujua hata wahuni, malaya, na wapumbavu pia huzeeka
 
Hivi ikitokea tumekaa chini kwa utulivu na kupatana,utaniuzia hiyo avatar yako pesa ngapi?Maana hayo meno(manjino)yamekaa poa sana kwa kumegea vingamba.Let's do some business,boss!
Siku nimeiona hii pic nilikua nalia..niliacha kulia nikacheka kama 10min hivi🀣🀣..nikiwa emotional naichek nachekaaa ..lofe goes on..nimeyatamani mangamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…