Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

Umefanya utafiti na ukagundua hilo kwa wanawake wengine ukasahau kwa mkeo kua ukiondoka na yeye anabaki mpweke,ukweli ni kwamba ana kiben ten.
Ndo maana sijamtenga wala sijasema yeye anabaki salama. Soma kwa utulivu tu utaelewa.
 
Sasa wewe kijana mdogo "wa miaka 50+" Unadhani wakati unatafuna wake wa wenzio huko Dodoma hujui hapa Dar ulipomwacha mkeo, kuna watu kadhaa pia wanakusaidia? Maana na wao wake zao wako Dodoma....

Hapo ni kama kubadilishana tu...

Kwahiyo kula tunda kistaarabu.... Na ukae kimya kiume. Siri nyingine zinaishia ukutani...
 
Wanaume na wanawake wa kiafrika uaminifu sio culture yetu,ni hivi tu tunajificha kwenye kichaka cha dini but uhalisia bado tuna tunaishi kwa tamaduni za kiafrika za kutombeana wanawake.

Haya mambo ya u faithful Kwenye mahusiano,tuwaachie wenzetu wazungu.Elimu ya mahusiano na umasikoni ndio chanzo kikibwa.
 
Kwahiyo list unajiita na wewe sio mtu wa mademu...!!!
 
MaOfisini nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu wake za watu wakiliwa,na bado ikitokea safari (fieldwork) wanaliwa sana.
Mwanamke wa kiafrika ni wako ukiwa naye kitandani.
 
Michael Jackson alipofariki akiwa na miaka 59,Waamerika walisikitika na kulia huku wakisema amekufa akiwa bado kijana mbichi sana.Huyu jamaa yeye anajiita mzee?
 
Sasa mkuu unataka wale wapi mkuu wangu,hii ndo dunia,good news ni kuwa hawajakutengenezea kashfa na kukutia hasara,shukuru,life is too short,have a good time big.
 
kama post ndo hizi kila siku, jammiiforum lazima idharaulike tu!!! hakuna namna.
 
Kijana tunza uanaume wako sasa, KARMA IS REAL ipo siku usiyoijua utaja jutia hayo usipoacha..
Acha kuogoopesha watu na karma sijui karama,hili kitu haipo labda kwa mpuuzi tu ndo ataamini,mimi nilisalitiwa au nilikataliwa na mpenzi wangu ilihali mimi maishani kwangu sikuwahi kufanya jambo hilo,je hiyo ni karma!? Yesu alisurubiwa msalabani je nayo wasema alikuwa analipa gharama za karma!?,kuna matajiri huvamiwa na kuuliwa na majambazi nao ni karma!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…