We nikome ushawahi kuniona mi nna nyuzi za kudiscuss na mapaka shume km nyie?? ๐๐นKwa hiyo hunitaki kwenye nyuzi zako siyo?
Hakuna wasi narudi kwa akina Lamomy BICHWA KOMWE - BRAZA CHOGO.
Mambo ๐Vin km vin
Mmeambiwa id zenu hazina ushawishi ๐น๐น๐นPlizz ova plizz!
Ehhh ๐น๐น๐นNakutaka.
Sogeza shavu nikubusu๐
Nimeshangaa JF uwe serious ๐น๐น๐นKumbe Kuna watu humu wako serious ๐๐
Tuwekee link mkuu ๐นUko sahihi,mtu anachati Hadi saa 6 usiku na saa kumi Yuko macho.
Hata hivyo jf kwangu ni sehemu ya burudani sihitaji watu physical kupata burudani.
Dah๐๐๐๐Mmeambiwa id zenu hazina ushawishi ๐น๐น๐น
Yani nimecheka nusu nidondoke khaaaa.!! ๐คฃ
Upo obsessed na platinum members na verified members.Una hasira sana e.
Kwanza sio verified wala platinum.
Hunitishi lolote.
๐น๐น Umemaliza asipokuelewa hapa basi..!!Mtoa mada yaan wewe unaumizwa na maisha ya wengine, yaan MTU kutafuta company humu jf wewe unaumia
Unataka utupangie namna ya kuchati na namna ya Ku m quote MTU
Yaan I see kuna vile unatafuta Ka attention flan hivi.... By attacking others.
Wewe unatupa maelekezo Kama nan humu?? Yaan max melo mwenyewe hatupangii maisha, then who are you?? To do soo...
Yaaan wewe Mimi nikim quote mfano Lamomy mara 1000 wewe unaumia, daaah pole saana utazidi kuumia...
Do your stuff that make you happy, don't care about others....
Hata Kama watu wanastress wewe inakuhusu nini??
Una Kazi yakuangalia joining year, then Una mgrade MTU,
Anyway....
Nisema tu nakupenda๐.We nikome ushawahi kuniona mi nna nyuzi za kudiscuss na mapaka shume km nyie?? ๐๐น
Lamomy acha hizo!!Mmeambiwa id zenu hazina ushawishi ๐น๐น๐น
Yani nimecheka nusu nidondoke khaaaa.!! ๐คฃ
Za asubuhi, uwe na ijumaa kuu njema.Kumbe Kuna watu humu wako serious ๐๐
Simpendi katu๐น๐น๐น Min unakataa mboga?
Em legeza basi mzungumze na wifi jamani ๐น๐คฃ๐คฃ
Ila JF haiboi haipoi humu tyu..!!