Nimegundua Wanaume wengi huku JF ni Wapweke Mno na Wamekosa Utulivu

3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
Hahahaahahaha dah kumbe hili ndio kundi la tatu...Verified and Platinum members. Sasa jamanii nina miaka 16 (sixteen) years humu ndani, nityashindwa kuwa veerified au platinum kweli. Yaani nimejiunga JF wakati first born wangu akiwa na miak mitano, hadi leo hii niko humu ndani daily.
 
Simpz mnatuharibia sifa wanaume halisi humu JF ifike mahala tuanzishe kampeni ya kuwa lebel ma simps humu… ndomana platform inaharibika sababu ya ma boychilds wanaotafuta attention kwa id za kike.. kutwa kuongea utumbo!

If only ningepata rungu la kusimamia nidham humu, hadhi ya wanaume halisi ingerudi kwa kasi kwanzia jf humu mpka Tanzania kwa ujumla.. Huyu Mwanamke ana point japo chache ndo za msingi.. zingine zimekaa kama zipo kitambaa cheupe
 
Hahahahah
Hili hapa

3. Na kundi la mwisho ni hawa wenye maisha ya duniani na peponi kwa pamoja, yaani ni verified member halafu na hapohapo ni Platinum member weeeee! hao ni kama washaiona pepo kabla ya kufa.
🤭🤭🤭🤭🤭
Hahahahahaa hjuko mie simo ndugu yangu wa damu wewe
 
Siongei na viraka.
Naongea na Verified na Platinum tu.
Wala hunitishi kwanza.

Kwanza ile comment sikukujibu wewe nilimjibu aliyeniuliza.
Kanawe kwapa uende misa ya Ijumaa kuu, saa 9 jioni hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…