..kila kunapokuwa na sherehe za kitaifa huwa kuna ' show ' ya maaskari wanaopasua matofali kwa kichwa, kukunja nondo kwa meno, misafara ya silaha nzito-nzito, magari ya deraya, etc etc.
..ungetegemea ktk matukio ya ajali kama hii ya Bukoba vyombo vyetu vitakuwa tayari na msaada utakuwa wa haraka. Lakini leo tumeshuhudia ni kinyume chake.
Wahusika waokoaji wafike kutoka south Africa au kutoka pemba?Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Amen, naunga mkono hoja.View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Naunga mkono hoja.Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Halafu hautokaa usikie wakipongezwa na serikali hii iliyokosa aibu.View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,

Mkuu,Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Mkuu hii ni bongo.Tuelimishane kuwa ni vizuri kutoa muda hata wa dk 15 hadi 20 kusubiri rescue team au wenye dhaman ya kuelekeza wafike kwenye tukio km polisi, viongozi nk ili uokozi ufanyike wakati wao wakiwasiliana na wengine kwa msaada zaidi kuliko kufanya haraka inayoweza kutoa matokeo mazuri sawa lakini pengine ikaleta madhara pia..mfano wavuvi sidhani hata wanafaham ndege ilikuwa na abiria wangapi, unaweza kuokoa 5 halafu 10 wakapoteza maisha sababu ya kufanya haraka pasina na ufaham na ujuzi wa kufanya uokozi.
Unaishi Tanzania wewe au unazungumzia yaliyo kwenye ndoto zako!Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Wameshakujibu kwamba waliotoboa Meli sio wavuvi bali yalikuwa ni maelekezo ya kiongozi wa serikali.Kila kitu unachofanya wewe huwa una uhakika nacho..unauliza maswali ya kijinga kabisa, halafu kwa nini hamuongelei mfano niliotoa wa meli ya mv bukoba..ilizama kwa sabab watu waliowahi kufika kwenye tukio walitoboa upande mmoja wakatoa watu hata 10 hawafiki halafu watu zaidi ya 500 wakapoteza maisha sabab ya haraka haraka bila hata kufahamu madhara ya wanachokifanya..
Ndege imeanguka mita 100 kutoka uwanja wa ndege. Hao wataalam wanaishi umbali kiasi gani hadi wachelewe kufika?Awe alikuwa kiongozi siyo kiongozi uamuzi uliochukuliwa ulikuwa wa haraka kabla hata wenye utaalam wa uokozi vyombo vya majini hawajafika..hiyo ndio substance, kwamba haraka ya maamuzi kwenye ajali kama hizi haifai.
Mkuu 'Jidu', jambo muhimu la kujiuliza ni hili.View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Watanzania tunapendana sana. Tena sana. Kilichokuja kutuharibia upendo wetu niView attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Mnaleta 'utaalamu' wenu hapa JF baada ya tukio kutokea,nyinyi ndiyo wale mtu anahitaji k kuondolewa kwenye gari iliyopata ajali unaanza kuleta blah blah za 'dislocation' matokeo yake mtu anakufa bila msaada.Wape heshima zao hao wavuvi waliookoa hata hao 26.Siyo kila kitu ni cha kucomment,mengine mkaage kimya yawapite.Huelewi chochote bora kukaa kimya..hata ndege ilivyoundwa haiwezi kuzama kama inavyoonekana ikiwa tu milango itabaki imefungwa, kinachoonekana ndege yote imefunikwa na maji kasoro upande wa nyuma, nini kimesababisha ifunikwe na maji?
Hivi ajali itokea na wewe umebanwa na chuma ambacho tunaweza kukitoa kwaiyo inyakuwa vizuri tukuache tuendelee kusubili watalamu waje kukutoa?Pamoja na kuguswa na tukio hili na maumivu tuliyo nayo kwa kupoteza ndugu zetu..tuwe wakweli, unasifia watu ambao wanaweza kuongeza tatizo lililotokea..ajali zinapotokea ni muhimu sana kuelekeza watu wakae mbali na tukio hadi pale watu wenye ujuzi,
uwezo na utaalamu wafike eneo la tukio kwa ajili ya uokozi, ajali ya mv bukoba ilipotokea waliosababisha meli izame ni watu ambao wala hawana utaalam wowote wa uokozi waliamua kuitoboa meli upande wa juu hewa ikaingia ndani within 20 minutes meli ikazama chini, wataalam walisema kama meli isingetobolewa kulikuwa na uwezekano wa meli kuelea hata siku mbili..lakini lipo jambo jingine,
ukiacha kazi zingine za uokozi kuna namna hata vile majeruhi wanastahili kubebwa, mfano mtu amepata dislocation ya uti wa mgongo then watu wasiojua namna ya kumbeba wanammbeba, hata kama damage ya mgongo ilikuwa inaweza kutibika waliombeba kwa sababu hawajui majeruhi abebwe namna gani wataongeza tatizo pengine la kumfanya majeruhi asipate tiba ya kumponyesha.
Tusaidiane kutoa elimu kwa watu wanaokuwa karibu na ajali inapotokea wapime kiwango cha usaidizi wanachoweza kutoa ili wasiongeze madhara zaidi ya chombo au madhara kwa majeruhi, vinginevyo wakae pembeni wasubiri wahusika wa uokoaji wafike.
Wakisema usimdharau usiye mjua, huwezi just atakufaa wkt gani ndio hivi Sasa.View attachment 2408768
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana wameweka ubinadamu kwanza.
Wabarikiwe wale jamaa wavuvi na waokoaji waliofanya uokoaji leo.
Wala usiwe na shaka, tunapendana sana. Aliyetaka na aliyepanda mbegu kutugawa na kutufarakanisha keshatangulia.Watanzania tunapendana sana. Tena sana. Kilichokuja kutuharibia upendo wetu ni
1. Siasa
2. Utandawazi
Bila hivi tulikuwa tunaishi kama ndungu