Nimejikuta nakuwa baba wa watoto wengi bila kutarajia

We tekeleza "Ila malipo ni hapa hapa duniani" wengine tunataka watoto we unaleta "ungese"

mkuu Kila mtoto utakae mzaa anakuja na Baraka na balaa zake" Itoshe kusema umewaza kwa kupanic "huja tuliza kichwa"
 
Wewe mtoto mpumbavu sana, nani katombrr huyo mkeo na kumpa hiyo mimba? Unampa onyo asipate mimba halafu unampa mimba.
 
Hivi kichwa chako kipo sawa kweli,kwanin hamjatumia uzazi wa mpango??unamlaum mwanamke Ana kosa gani wakati unakojolea ndani ulitegemea nin??hembu kaa utulie ulee familia yako
 
We ni mnafki sana,kama uko serious kiasi cha kutaka kuacha watoto na mkeo sababu ya kutafuta pesa bac kajifunge uzazi we mwenyewe ili uwe dume lisilozalisha.Jua ukiwaacha hawatarudi kwako tena,utatafuta dem mwingine uanze kumzalisha,maisha hayako kama unavyotaka wewe.kama hutaki watoto hacha kutomba period.
 
Unafaa sana kuwa comedian.
 
HUJISOMI
 
Msikilize huyu dogo hapa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/1112313566978855
 
Awali nilikuwa nawaona single mother ni noma kumbe ni wazuri, wanatusaidia vema kulea watoto peke yao, hongera zao. Hebu fikiria una watoto kumi na kila mtoto ana mama yake, je hao mama zao utaishi nao kwa pamoja? Bora kuzaa watoto wengi kwa wanawake tofauti kuliko kuzaa watoto wachache kwa mwanamke mmoja mpenda uzazi wa mpango
 
Nilijikuta umri unapanda huku nikiwa na mtoto mmoja tu. Nikaona isije ikasemwa marehemu ameacha mtoto mmoja|wawili, ikabidi nizae na wanawake wengi watoto wa kutosha ili nikifa isemwe marehemu ameacha watoto wengi, sifa nzuri sana hiyo ya kuwa na watoto wengi kama mke mmoja hawezi kuzaa idadi kubwa ya watoto. Habari ya kuishi na wanawake wengi niliozaa nao watajijua wenyewe maadamu mi nimepata watoto wengi nao
 
Unashida kichwani mwako,mimba umpe wewe halafu mimba iwe ya mke wako,wakati ulipokuwa unashughurika ulikuwa umeambiwa tumbo la mwanamke ni benki ya kuhifadha pesa za kukusaidia kutimiza malengo yako tofauti na ya kuzaa?.
 
Acha mambo ya kitoto wewe.
 
Kakulia kwa grandmother wake
 
Sema ulipotaja mbwa watu watahisi ni chai ila asikudanganye mtu ,mbwa ni familia kabisa maana anakula Kama ninyi watu .

Raha ya mbwa awe mkali ,unamlisha na jioni au mchana wajinga hawatii miguu nyumbani ,sio Kama jibwa langu limenenepeana masikini ,halibweki mpaka liwe na njaa ,natamani kumdukuza ila nimemzoea ,majirani wakija kazi kuwaangalia ,itoshe kusema huyu mtoto amekuwa mzigo kwangu na kumfukuza aende akajitafute siwezi nimemlea vibaya ,simuoni akiweza kula jalalani ,nipe ushauri rafiki nifanye nini na huyu mwanangu mkubwa
 
mbona akili yako imekaa kimasikini masikini haiwezi kuhimili mikikimikiki ya utajiri
 
Inahuzunisha sana mkuu....
Mbwa ni kiungo muhimu sana kwenye familia zetu sisi tusio jiweza kuajiri makampuni ya ulinzi.
Huyo mbwa wako nikweli umemzowea, lakini kwa ulivyo elezea hakufai tena kwa ulinzo hapo nyumbani, hope ulikosea kwenye malezi.
Nashauri mgawe kwa wafugaji na dogs trainers kisha tafuta katoto kengine uanze kukalea kwa mafundisho yako maalum ili uone tija ya kuwa na mbwa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…