Nimejipa adhabu ya kukaa siku 1,000 bila kushiriki ngono kwa njia yeyote ile

Hiyo ni natural ways sio forced ways..
Utakosa usingiz siku 2...3, mood change siku 7 za mwanzo, ndani wiki 4-7 unaweza pata wetdreams 2, yote hayo ni kawaida. Baada ya miezi 2 hali ita normalize. Jiepushe kutumia vilevi kama starehe mbadala, kaa mbali na porn, nyege zikikukaba funga chakula, jizoeshe kukaa njaa siku 1 au 2. Baada ya miezi 3 utajionea faida nyingi na maisha yako yatabadilika kuwa mazuri. Kila la kheri Mkuu.
 
utake usitake zitamwagika tu
mark my words
 
Ila utakuwa unachafua mashuka usiku. Usiende kinyume na matakwa ya Mungu. Acha zitoke, kiuno kitachoka kubeba mzigo, mwisho utasikia sauti za watoto kwenye kiuno. Wanataka wakacheze na wenzao.
Hahaha nimecheka sana
 
Ubarikiwe mkuuu
 
Tizi ni muimu sana kwenye izo siku buku braza yaani hasira zote amishia kwenye tizi Kila siku masaa 2 kama we ni mtu wa ball nenda ground daily isopokuwa tu weekend na siku ukipata injuries πŸ€’,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…