Nimejipa adhabu ya kukaa siku 1,000 bila kushiriki ngono kwa njia yeyote ile

Nimejipa adhabu ya kukaa siku 1,000 bila kushiriki ngono kwa njia yeyote ile

Kaka mbona unachangia kwa uchungu sana, kulikoni?
Usha anza 🤣 😂, haya manzi wako huyo
FB_IMG_17379960136607532.jpg
 
Tizi ni muimu sana kwenye izo siku buku braza yaani hasira zote amishia kwenye tizi Kila siku masaa 2 kama we ni mtu wa ball nenda ground daily isopokuwa tu weekend na siku ukipata injuries 🤒,
Shukran mkuu ntazingatia hilo kikamilifu
 
Back
Top Bottom