Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

kununua malaya ni kitu kimenishinda maisha yangu yote, ila shida ni moja mkuu huyo unaesema wa kwako unagharamia kuna watu hawanaakili kama unavyowaita, anawauzia goli moja elf 5.
Duh! Ama kweli wa aina hiyo ni hamnazo
 
Uliingia kwani?
Naona wanaotoka wakiwa na hali mbaya, mateja, walezi wa gongo, viroba na visungura wote wanajilia. Kujiweka kwenye category hii lazima na wewe uwe na akili kama zao
 
Inategemea na mazingira, unaweza ukawa uko hotelini ukawa mpweke, ukajikuta unaingia mtandaoni na kuchagua sampuli inayokupendeza, ukaipa maelekezo.​
 
Binafis huwa nikiwaza haipandi hata hisia napataje pale cha fasta?.

Ila nawe mkuu usimwamin ulienae, hawaelewek hawa viumbe.
Bora huyu ambaye ananidanganya maana naamini ni wa kwangu tu. Lakini hawa waliojipanga mstari kama kuku wa Mdondo
 
Inategemea na mazingira, unaweza ukawa uko hotelini ukawa mpweke, ukajikuta unaingia mtandaoni na kuchagua sampuli inayokupendeza, ukaipa maelekezo.​
Hakuna tofauti......Wa buguruni na wa badoo ni wale wale. Unampigia simu akiwa kwa njemba nyingine. Anakwambia nakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…