Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

mi nishawekewa sana hayo makitu na demu flani lakini ajabu bado alikuwa anaona simpendi..nampa majibu ya shombo yyani kiufupi yeye ndo akavurugwa na mimi.kunilaumu hakuishi lakini bado ananiganda tuu hadi leo.mda wowote namwita na anakuja yaani mrahisi sana kwangu!nahisi limbwata zake zilimrudia maana vitu konki nnavyotumia hakuna uchawi utaingia humu
 
Saint Anne , hujambo Mama ,kila andiko lako, huwa ni Baraka kwangu na lenye Ujumbeee mzito.
Andiko langu ni baraka kwako na lenye ujumbe mzito ila nasikitika hulitendei kazi.

Mimi ni mpanzi nipandaye mbegu.
Wewe ni mbegu zilizoanguka penye/kati ya miiba,ile miiba ikamea pamoja nazo ikazisonga...
Unasikia neno, na katika kuenenda husongwa na shughuli za dunia na udanganyifu wa mali na anasa za maisha haya,usiivishe lo lote na lile Neno halizai.
 
Kabisa mkuu, hata huyu Manzi, kuna vitu sometimes mpaka nastuka, namuuliza mata mbilimbili, kunann??

Anasema hamna.
 
Naendelea Kusali na kuliomba hili liache Mara moja Mama.
 
Duh!

Ni manini hayo? Yanaonekana ni mauchafu 🤣.

Ndo madawa ya penzi?

Let me put you on game:

If you want to know what you’re eating then: buy it yourself, grow it yourself, kill it yourself, and make it yourself.

Other than that, there is a chance of you eating things that you wouldn’t normally eat, had you had full knowledge of what they are.
 
Nilikua na Dem wangu mrangi toka kondoa,aliwahi niambiaga nikikuamulia hutoki nje hata siku moja,siku hiyo nikamdadisi akasema nikipata mchumba ntakwambia,Hamad,akatafutiwa mchumba kwao.
Alinimwagia secreto,ukienda kwa wanawake wengine usiwaamini Sana,mkikulana,usikubali wakufute na kitambaa,jifute mwenyewe,nilimuuliza why baby?[emoji15][emoji15] Kwa kuwa alinikubali Sana ananimwagia secreto[emoji2][emoji2] kwamba like kitambaa alichojifutia na wewe akikufutia akiamua kukifunga mafundi matatu na kuchanganya na majamboz mengine,husimami kamwe kwa mwanamke mwingine[emoji34][emoji34] zaidi yake.
Kwa hiyo mamen wenzangu hii ni binge ya secreto, mkitaka kuchukua chukueni,kuweni Makini.
Tangu siku hiyo Mimi sikubali Dem anifute na kitambaa chake[emoji34][emoji34]baada ya kula mbususu yake,nipo 5 kilometers ahead from them[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…