Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

πŸ™πŸ™
 
Kisayansi, hakuna jinsia iliyo bora zaidi kiakili kuliko nyingine. Wanaume na wanawake wana uwezo sawa wa kufikiri, lakini ubongo wao hutofautiana katika namna ya kipekee ya kuchakata taarifa, kutatua matatizo, na kuonyesha hisia.
 
Sis Pridah I’d yako umeitelekeza?
Nilikuwa najiuliza huyu mama mchungaji siku hizi yuko wapi? Hajambo kijana wetu 😍

Mwambie odo Lamo kakumiss jamani πŸ₯°πŸ₯°

Hapo kwenye tume naomba niwe m/kiti kabisaa..!! 😹
Nimesahau password☹️
Nipo.Kijana kakupita urefu na sa hv ukileta airforce ziwe size 39.Nahisi nakuza goliati.
Salamu zumefuka.

Sawa m/kiti ila ripoti ni yangu tu.
 
Muulizeni akili zake na za Chura Kiziwi ni sawa? Atoe jibu.
 
😹😹😹 Nitake radhi sis Pridah
Yani mimi nifungiwe na chawa? πŸ˜₯

Huyo tlaatlaah mpuuzi anashabikia mauaji ananiboa kweli…!!
Kanisa lenyewe lipo lumumba la kupiga mapambio 😹😹😹
Mi sielew kitu i najua yuko kanisani kwake unakusanya makapu ya fungu la kumiπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸ˜ƒ
 
Hapo kwenye akili ndo umekosea. Mimi ni ME ila nakiri wanawake smart ni wengiii - nahisi hata kuliko wanaume. Kwenye hisia umepatia. Hizi jinsia mbili tunatofautiana namna tunavyoitikia hisia zetu lakini wote tunazo hisia the same.
Najua wanaume wanaozidiwa akili na ke wapo na kama unakiri wewe ni mmoja wapo siwezi kupinga hilo.
 
Naomba niambie kwanini mwanaume aliweza kujifanya kiongozi na isiwe ni mwanamke ndie ajifanye kiongozi na mwanamme awe mume wa kiongozi?
 
For sure! Ajiongelee yeye na akili zake chache
Wewe na mashosti zako wenye akili nyingi mmechangia nini ktk kuistaarabisha dunia hii?

Kama mna mchango wowote mlochangia itakua ni kuzaa watoto wa kiume.
 
Wanawake wametuzidi kihisia na akili pia wametuzidi sanaa
wanawake ndio wanarun hii dunia!
OFcoz tuna run hii dunia kwa kuzaa midume japo mingine tunazaa imezidiwa akili na dada zao pia ni yetu tunashukuru kwa kila jambo.
 
πŸ™πŸ™
 
Kisayansi, hakuna jinsia iliyo bora zaidi kiakili kuliko nyingine. Wanaume na wanawake wana uwezo sawa wa kufikiri, lakini ubongo wao hutofautiana katika namna ya kipekee ya kuchakata taarifa, kutatua matatizo, na kuonyesha hisia.
"In fact, studies on cerebral cortex show that men have 15% more cortical neurons and 13% greater total neuronal density than women," (Pakkenberg and Gundersen, 1997; Rabinowicz et al., 2002

Sayansi Gani hiyo unayozungumzia mkuu???
 
Kuna namna cognitive filter yako inafanya kazi, Unatafsiri comments zangu kulingana na matarajio yako. Majibizano kati yetu yamejaa neno, sikumaanisha hivi nilimaanisha hivi” This is so tiresome na haina msingi.

You are seeing me through your own perception, which sio kitu kibaya, shida yake ni kuwa malengo ya mjadala yanakuwa shifted. Nilizungumzia consistency kama kanuni mojawapo ya mjadala, ni kama ulielewa, kuna kitu niliund estimate kumbe 🀣

Unazidi kunithibitishia kuwa nilikuwa sahihi toka mwanzo nilivyosema sio sahihi kujadili na mtu ambaye level ya uelewa sio moja, sio kwa ubaya.

Hapo uliponiqoute as a cherry picker as you are… Nilisema kuwa nitafuta comment/nitapunguza comments ili watu wakija kusoma wakutane na mtiririko wa hoja na na sio majibizano binafsi, Inaboa kwenda kwenye comment section unakutana mambo binafsi atleast to me, naamini na wengine wapi (lengo la msomaji ndio linadetermine hiki)

Reading through your comment nimeelewa kuwa unadhani nafuta comment kwa sababu naogopa watu kutujudge (hii umeandika mwenyewe) How do you manage to think like this, i mean your process of thought ina walakini (Japokuwa benefit of doubt nayokupa kwa nilivokusoma kwenye mada zingine ni kuwa unafanya makusudi)

Na makusudi yako yanatokana na fact kwamba huku penda comment yangu ya kwanza jana, can you please move on? If something kinakuwa personal maana yake kimechukua your emotions. Hii sijajitungia, imetokana na hapo uliposema β€œyou want to crack me open” Dude kwanini umejipa hii kazi ngumu isiyokuwa na malipo? ina satisfy which part of your body (sitaki kukwambia ni your bruised ego) nishakwambia tho πŸ˜…

Kama alivyokwambia Becky huko juu jana, kujadili na wewe mtu lazima achoke sana. Although kwa mtu anayeelewa anaelewa unachofanya, ni vile nakwepa sababu i don’t want to be reduced to that !



Cha mwisho na cha msingi kinachohusiana na mada na sio hizi blah blah, unadeni la kueleza/kufafanua ile comment yako ulivyosema hii uzi unahusu survival, kama sijamisqoute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…