Hamna ulichoelewa hapa kulingana na maandiko yako mwenyewe, simply unakwepa kukiri mtibeli was wrong, prida is right.Again umejibu sehemu ndogo tu ya nilichoandika, kumuunga mkono mtibeli kwa 100.
Umeskip sehemu nyingine ya kuwa baada ya kusoma mtifuano according to pridah nimeelewa hii engo, hiyo umeiacha.
Nikisema hii mada ni kubwa pia hujaelewa maana yake?
Repetitively ni mpaka niandike mimi ndio uone najua, okay sijui… we good?
Umeona kwanini Binti wa zamani amesema exactly nilichosema kuwa hawezi kuandika tena sababu vimeandikwa tayari, i guess you can’t comprehend this.
I doubt that maana alisema haikuanzia hapoHamna niligundua tu ni mwanamme ila niachane na mambo ya watu sasa
Basi tuyaachie hapo. No needMwambie aku tag hizo sehemu.Sijawahi tukana mtu humu
Sis hiyo rushwa naomba na odo nizingatiwe puliiiizzz 😹😹😹Atayenipa hela ya vocha ndo atakua shoga angu hata kama najua sio yeye atakayeolewa😃
Kwa hili exactly tutumie comment ya kwanza ya denno amejibu kwa usahihi sidhani kama kuna fact nyingine, it’s purely sababu za kimaumbilie ambazo zinaathiri mambo chungu tele kwa wanawake na kutuweka nyuma ya wanaume functional wise.Wakuu de Gunner denoo G Titicomb Natafuta Ajira, my golden brother Robert Heriel Mtibeli naomba tufunge mada
4)Ni kipindi gani mwanaume na yeye huwa unstable and weak kihisia kama awavyo mwanamke aliyeko kwenye menopause.?
Asanteni🙏
Ni haki yako kukataa maelezo yangu lakini sio haki yako kunilazimisha niseme Mtibeli was wrong, Hili tutakesha .Hamna ulichoelewa hapa kulingana na maandiko yako mwenyewe, simply unakwepa kukiri mtibeli was wrong, prida is right.
Aiseee? Hili pia unataka uelezwe despite ya maelfu ya comments kwa nyuzi zote mbili, Hii sio hesabu ambayo ina formula, kuwa 1+1 =2 dunia nzima.Ndio maana pia unasema wote wako sawa, how could them both be right ikiwa mmoja anapinga kilichoandikwa na mwingine?!
Kama Pridah ametumia tafiti ni kivipi unadhani Mtibeli hakutumia tafiti, au kwasababu mada yake ilikuwa ya kwanza now mmepata namna ya kuboresha (first mover advantage vs last mover advantage)- Sina sababu ya ku-skip chochote ulichoandika sababu sioni hoja yako zaidi ya kujizungusha tu, kama mtibeli mwenyewe afanyavyo akiulizwa jambo.
▪This is not only about kuielewa angle kama unavyodai, unatakiwa uelewe kila anachoandika kwasababu anatumia tafiti kama unavyotaka, unless tena uwe umebadilika hutaki tafiti!.
You are still yesterday, nikisema hii mada ni kubwa namaanisha Kuna rejea zisizokuwa na idadi huko nje unless unatumia JF kama your only source, which naamini you don’t.Nimekuuliza wapi tafiti ya mtibeli kama unavyodai kutaka tafiti, bado hujajibu, meaning hujui unachosimamia!
I can’t understand it for you. Kama ubongo wako hauna uwezo wa kusoma, kuelewa na kunyumbulika ukikutana na perspective tofauti sina cha kukusaidia na uache udikteta wa kimawazo.Regardless of what huyo mwingine uliyemtaja kasema nini, bado hakina uhusiano wowote na hiki unachoandika wewe hapa, i still believe hujui unachoandika and for no reason, hutaki kukubali mtibeli was wrong.
Hii comment inaumiza lakini ni ya kweli 😂Kwamba wanawake wengi tuko disqualified na sio tuko discriminated kwa baadhi ya kazi.na kwanini kuwe na shortage ya wanawake katika nyakati za usawa wa kijinsia? na hata ukiangalia population ya wanawake na wanaume ni almost inalingana. Sensa ya mwisho tuliambiwa wanawake wapo wengi zaidi Tanzania.
Ukweli ni kwamba tunachokiita shortage, sio shortage bali ni disqualification. Tunavyo-adress suala la ubaguzi wa kijinsia kuna eneo tunaliluka. Tunashindwa kutofautisha descrimination na disqualification.
Mfano, Tanzania hakuna mfumo uliowekwa kumzuia mwanamke kuwa dokta, injinia au computer scientist, lakini kuna wanawake wachache sana kwenye hizo nyanja. Kwanini? Kwa sababu wengi wao uwezo wao wa kitaaluma hawauwezi ule mziki wa PCM na PCB. Sasa hiyo sio descrimination, ni disqualification.
Tukitaka kulazimisha namba za wanaume na wanawake ziwe sawa, ndipo tunalazimika kulegeza vigezo upande wa mwanamke(ndicho kinchofanyika kwa sasa na kuitwa usawa wa kijinsia) . Matokeo yake tunapata wanawake wengi ambao ni incompetence. Hata kwenye nyanja nyingine ni hivyo hivyo. Women became too empowered, and that have ruined society.
- Kama tukikesha ni kwasababu wewe ni mbishi, ila kwa vigezo ulivyojiwekea mwenyewe vya tafiti, sioni haja ya huo mkesha, prida is right while your mtibeli was wrong.Ni haki yako kukataa maelezo yangu lakini sio haki yako kunilazimisha niseme Mtibeli was wrong, Hili ge vs last mover advantage)
You are still yesterday, nikisema hii eta wa kimawazo.
Hawezi kuwa wrong kwasababu tu umeamua iwe hivyo, Na kwanini unajali sana hili kuwa nani is right na nani is wrong Ikiwa nimeshakwambia kila mtu yuko sahihi kwa upande wake.- Kama tukikesha ni kwasababu wewe ni mbishi, ila kwa vigezo ulivyojiwekea mwenyewe vya tafiti, sioni haja ya huo mkesha, prida is right while your mtibeli was wrong.
And i won’t sababu we ni mvivu na unapenda kuchosha watu. Somehow unadhani similarities ya kihisia na kiakili kati ya gender mbili haina tafiti, Mtibeli kajitungia? Na wote tuliomsupport tumejiamulia ? Zipo na sitakuletea amua uamuavyo.- Kama mtibeli alitumia tafiti, nikakwambia weka hapa sehemu unayoamini aliandika kwa kutumia tafiti na hayakuwa mawazo yake personal, you did not.
Seriously maana ya tafiti 😅? Ulikuwepo huko stone town? (I seriously wonder kama uko serious 🤣 nadhani unatania kudhani nimekubali mada ya mtibeli kwa maneno matupu. Mtu akiandika kitu humu you don’t take trouble kusoma kwingine kama haujaelewa? KILA KITU DUNIANI kimeshaandikwa.▪Mtibeli alituwekea rejea ya ngonjera alizohadithiwa na mwanamke wakiwa kijiweni, Stone Town, Zanzibar, hiyo ndio tafiti yake uliyoikubali?! Unajua maana ya tafiti, au unajua tu kuandika neno "tafiti"?
Kwanini siwezi kusema wakati nimesema si zaidi ya mara moja. Nimesema na ninabaki hapo hapo.- Huwezi kusema mada ni kubwa yenye rejea zisizo na idadi, ikiwa ni wewe mwanzo uliyeandika hutaki kufanya repeatition of words mpaka uka- quote mchangiaji mwingine aliyeandika hivyo.
Hili ni tatizo? na kwanini?• Repeatition of words kwa muktadha wa hii mada, maana yake hauna jipya la kuandika, you are fixed, umeishiwa maneno ya ku-supoort hoja yako.
Hii ndio maana ya mada pana?Unajichanganya hujui unachoandika, kama mada ingekuwa pana maana yake ungeendelea kuja na maneno mapya yaku-support upande wako kama alivyofanya prida.
Unamfafanulia nani hiki kitu mbona kiko wazi, uzito wako wa kuelewa mada za wengine usiuproject kwangu.The way alivyozungumzia kipengele cha hisia mwanzo kabisa wa mada yake, ni tofauti na alivyozungumzia yesterday, but yote ikiwa na same meaning. Huyu ndie anayejua anachosimamia.
Naandika kukujibu nikikupa na mifano kabisa kuonesha udhaifu wa hoja zako kiuandishi, nimekuwekea mpaka na maana ya mapungufu ya maneno yako toka google, huo sio udhaifu wa ubongo wangu kuchambua, ni uimara wa ubongo wangu kuchambua, naona hata hili dogo hujui kutofautisha pia!.
Dhaifu ni yule anayeshindwa kuja na maneno au mifano mipya, akijua atarudia maneno yale yale aliyotumia mwanzo, na asiyejua maana za maneno anayotumia kwenye hoja zake mpaka awekewe maana toka google!.
Para 2 za mwisho, tbh Commitment yako inachekesha . Ntakuachia wewe aina hiyo ya commitment, wewe ni mzuri kwenye hili, sawa? 😂Nimemaliza.
Hakuna uhaba wa wanawake kwenye sekta zozote za white collar jobs kama hizo za engineers, doctors, computer science n.k kwa sababu kwanza hizo kazi zenyewe hata hazitoshi kwa sasa hata wangekuwa wanaume tu ndio wana vigezo.na kwanini kuwe na shortage ya wanawake katika nyakati za usawa wa kijinsia? na hata ukiangalia population ya wanawake na wanaume ni almost inalingana. Sensa ya mwisho tuliambiwa wanawake wapo wengi zaidi Tanzania.
Ukweli ni kwamba tunachokiita shortage, sio shortage bali ni disqualification. Tunavyo-adress suala la ubaguzi wa kijinsia kuna eneo tunaliluka. Tunashindwa kutofautisha descrimination na disqualification.
Mfano, Tanzania hakuna mfumo uliowekwa kumzuia mwanamke kuwa dokta, injinia au computer scientist, lakini kuna wanawake wachache sana kwenye hizo nyanja. Kwanini? Kwa sababu wengi wao uwezo wao wa kitaaluma hawauwezi ule mziki wa PCM na PCB. Sasa hiyo sio descrimination, ni disqualification.
Tukitaka kulazimisha namba za wanaume na wanawake ziwe sawa, ndipo tunalazimika kulegeza vigezo upande wa mwanamke(ndicho kinchofanyika kwa sasa na kuitwa usawa wa kijinsia) . Matokeo yake tunapata wanawake wengi ambao ni incompetence. Hata kwenye nyanja nyingine ni hivyo hivyo. Women became too empowered, and that have ruined society.
Sehemu nyingi duniani imeonekana Mapendeleo ya Kazi (“Watu dhidi ya Vitu”) kwa jinsia hizi mbili: Utafiti unaonesha kuwa wanawake wengi wana mwelekeo wa kupenda kazi zinazohusiana na uhusiano wa kibinadamu (People-oriented), wakati wanaume huvutiwa zaidi na mifumo na vitu visivyo na uhai(things oriented- tools, machines, engineering). Hivyo, wanawake wengi wanapochagua masomo, huelekea zaidi katika fani za afya na ustawi wa jamii.Hii comment inaumiza lakini ni ya kweli 😂Kwamba wanawake wengi tuko disqualified na sio tuko discriminated kwa baadhi ya kazi.
Niulize uwezo wa kusoma masomo ya sayansi +hisabati kutofautiqna kati ya gender mbili ni dunia nzima au TZ tu, na je factors zipi ambazo ni constant zikiwekwa kwenye meza bado wanaume wataongoza katika haya masomo je ni uwezo wa asili au inspiration ambayo kila gender imechukua katika jamii za mwanzo.
My dear.Kwa hili exactly tutumie comment ya kwanza ya denno amejibu kwa usahihi sidhani kama kuna fact nyingine, it’s purely sababu za kimaumbilie ambazo zinaathiri mambo chungu tele kwa wanawake na kutuweka nyuma ya wanaume functional
Kwa maoni yangu jambo la kuzingatia ni kuwa: Ni nani anaathirika zaidi na sio huyu haathiriki kabisa.
Sina cha kuongeza.- Kama tukikesha ni kwasababu wewe ni mbishi, ila kwa vigezo ulivyojiwekea mwenyewe vya tafiti, sioni haja ya huo mkesha, prida is right while your mtibeli was wrong.
- Kama mtibeli alitumia tafiti, nikakwambia weka hapa sehemu unayoamini aliandika kwa kutumia tafiti na hayakuwa mawazo yake personal, you did not.
▪Mtibeli alituwekea rejea ya ngonjera alizohadithiwa na mwanamke wakiwa kijiweni, Stone Town, Zanzibar, hiyo ndio tafiti yake uliyoikubali?! Unajua maana ya tafiti, au unajua tu kuandika neno "tafiti"?
- Huwezi kusema mada ni kubwa yenye rejea zisizo na idadi, ikiwa ni wewe mwanzo uliyeandika hutaki kufanya repeatition of words mpaka uka- quote mchangiaji mwingine aliyeandika hivyo.
• Repeatition of words kwa muktadha wa hii mada, maana yake hauna jipya la kuandika, you are fixed, umeishiwa maneno ya ku-supoort hoja yako.
Unajichanganya hujui unachoandika, kama mada ingekuwa pana maana yake ungeendelea kuja na maneno mapya yaku-support upande wako kama alivyofanya prida.
The way alivyozungumzia kipengele cha hisia mwanzo kabisa wa mada yake, ni tofauti na alivyozungumzia yesterday, but yote ikiwa na same meaning. Huyu ndie anayejua anachosimamia.
Naandika kukujibu nikikupa na mifano kabisa kuonesha udhaifu wa hoja zako kiuandishi, nimekuwekea mpaka na maana ya mapungufu ya maneno yako toka google, huo sio udhaifu wa ubongo wangu kuchambua, ni uimara wa ubongo wangu kuchambua, naona hata hili dogo hujui kutofautisha pia!.
Dhaifu ni yule anayeshindwa kuja na maneno au mifano mipya, akijua atarudia maneno yale yale aliyotumia mwanzo, na asiyejua maana za maneno anayotumia kwenye hoja zake mpaka awekewe maana toka google!.
Nimemaliza.
Ndio maana prida kawatafunia kama watoto wachanga kwenye hii sehemu yake ya pili aliyozungumzia hisia.Hawezi kuwa wrong kwasababu tu umeamua iwe hivyo, Na kwanini unajali sana hili kuwa nani is right na nani is wrong Ikiwa nimeshakwambia kila mtu yuko sahihi kwa upande wake.
And i won’t sababu we ni mvivu na unapenda kuchosha watu. Somehow unadhani similarities ya kihisia na kiakili kati ya gender mbili haina tafiti, Mtibeli kajitungia? Na wote tuliomsupport tumejiamulia ? Zipo na sitakuletea amua uamuavyo.
Seriously maana ya tafiti 😅? Ulikuwepo huko stone town? (I seriously wonder kama uko serious 🤣 nadhani unatania kudhani nimekubali mada ya mtibeli kwa maneno matupu. Mtu akiandika kitu humu you don’t take trouble kusoma kwingine kama haujaelewa? KILA KITU DUNIANI kimeshaandikwa.
Kwanini siwezi kusema wakati nimesema si zaidi ya mara moja. Nimesema na ninabaki hapo hapo.
Hili ni tatizo? na kwanini?
Hii ndio maana ya mada pana?
Unamfafanulia nani hiki kitu mbona kiko wazi, uzito wako wa kuelewa mada za wengine usiuproject kwangu.
Para 2 za mwisho, tbh Commitment yako inachekesha . Ntakuachia wewe aina hiyo ya commitment, wewe ni mzuri kwenye hili, sawa? 😂
Mkuu kama mtu ameamua kusema maji na konyagi havina tofauti hata ukesha ukimuelewesha "hatakuelewa".Ndio maana prida kawatafunia kama watoto wachanga kwenye hii sehemu yake ya pili aliyozungumzia hisia.
Unaweza vipi kusema mtibeli na prida wote wako sahihi, ikiwa mtibeli alisema hisia za mwanamke na mwanaume ziko sawa...
Lakini prida akakataa akasema hisia za mwanamke na mwanaume haziko sawa, na akataja sababu za kimaumbile kwa upande wa wanawake kuonesha sababu ya kutokuwa sawa kwao kihisia?!
How comes uone hawa wote wako sahihi!, kwa hali ilivyo, hisia za mwanaume ziko stable zaidi ukilinganisha na za mwanamke.
Mbona kama naanza kuona akili yako nayo inayumba yumba kama hisia zenu!.
Naaga tena, mengine nayo kukujibu naweza, ila......!!.
NB.
Silazimishi prida aonekane mshindi, ni uhalisia wa hoja zake za kitafiti na namna anavyozijenga na kuzilinda, sina hata medali ya kumvisha by the way!.
Kwamba mwanadamu hazaliwi na akili sio kweli.Kumbuka akili just ni space inayopokea kutoka kwenye mazingira hivyo naamini mwnadamu hazaliwi naakili ila anaikuta/anajifunza kupitia mazingira.
Kiwastani wanawake competence yao ipo chini ukilinganisha na wanaume. Kinachofanyika ni kuwabeba huku tukisema ni usawa wa kijinsia. Feminist mtalazimisha sana kuwepo na imaginary gender equity, bahati mbaya ukija ground uhalisia unawakataaHakuna uhaba wa wanawake kwenye sekta zozote za white collar jobs kama hizo za engineers, doctors, computer science n.k kwa sababu kwanza hizo kazi zenyewe hata hazitoshi kwa sasa hata wangekuwa wanaume tu ndio wana vigezo.
Hata hivyo ni kweli kwa muda mrefu kwenye nchi karibia zote duniani kumekuwa na vikwazo mbalimbali vya kimfumo na maumbile kutokana na tamaduni vilivyoweka ugumu kwa wanawake kusoma shule na hasa masomo ya Sayansi. Swali la kujiuliza ni kama utatuzi wa hii changamoto ulikuwa sahihi kwa baadhi ya maeneo na katika njia mbalimbali zilizotumika au kama kulikuwa na ulazima huo, mfano kujaza viti maalumu bungeni vya wanawake kama kunasaidia chochote kuboresha hali za wanawake kufikia usawa au kunaisaidia nchi chochote.