Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

Sasa huyu anaeiba hela ndani ya familia na anayeficha hela ndani ya familia yupi bora
 
Safia sana
 
Mkuu bima kwa familia ipo. Nakukumbusha tu kwamba bima hawakulipii nauli ya bombadia, hawakuwekei mafuta, hawakulipii lodge,
 
Idiot
 
Imekukuta kama mimi, mimi namba ya siri ya mke wangu ya benki na SIM card zak zote nazijua vizuri tu, yeye hajui yangu ya benki ila za SIM zote anazo na wakati fulani huwa namtuma kutoa hela au kulipia vitu nikiwa busy.

Kuna siku sijui roho gani ilinituma kufungua app yake ya SIMBANKING nikaangalia salio nikakuta 8.4M (jamani hawa wenzetu wanatunza hela), nilishangaa sana kwasababu ni mtu wa kupenda kuomba hela kwa 70% ya matumizi yake na kiukweli hata mimi roho iliniuma bwana, ila niliamua kutulia kwakua sikuwa na namna ya kukisanua.

Baada ya miezi kadhaa kuna ugomvi ulitokea( wa kawaida tu) akawa anaomba msamaha ila nikawa navunga kama nimekasirika sana kumbe moyoni silichukulii hata kama ni kosa kubwa, hapo sasa likaja wazo la kumtoa hela kutokana na majuto yake, ghalfa tu nikamwambia nisaidie 1.5M kama unazo nimekwama sana.

Bila kuuliza ni za nini, aliuza tu atume kwenye namba gani na akatuma na wala hajawahi kuziomba.

Sema hanipi hela ila vitu vya ndani na mavyombo kila siku yanaongezeka, kwakweli simlaumu sana.
 
Watu wa Jf bwana[emoji23]
 
Ila binafsi utegemezi pesa ya mtu sijui naonaje tena mwanamke
Naona kuliko nimwombe pesa mwanamke kama shida kweli imenibana ni bora nimwombe mzazi wangu anisaidie
 

Huyo
Utakuja kuumwa atakuomba hela
Ya matumiz achana nae mm binafsi sitaweza kuoa mwanamke mbinafsi
 

Aisee huyu utaumwa then atakuomba hela ya matumizi
 
Nakushauri ufanye uwezalo urejeshe hiyo hela hata kwa kusema umepiga deal fulani umepata hela akaweke ktk akaunti.

Kosa baya sana umefanya kujiibia mwenyewe
 

Daaah hujaelewa uzi wa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…