pole sana.Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana jamaa yng, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumuWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana,Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Poleni sana mkuu..Mungu awape amani na utulivuWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.
Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini.
Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro.
Asante sana Wakuu Wangu
Pole sana ndgWakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo Kcmc Moshi.