Nimemtia mimba mzazi mwenzangu akiwa kwenye ndoa yake ya miaka 7. Nifanye nini?

Sasa sindio mrudi semina au?
 
Mtihani uandae wewe, making skimu sisi. Aisee
 
Chakufanya wewe ikatae. Sababu ata first place inabidi mwenye mke ndo awe 1st suspect wa kumiliki iyo mimba. Acha ijulikane hivo mpaka pale mtoto atakapozaliwa. Uskute ata mimba sio yako ni ya jamaa. Hapa inabidi usimchekee uyo mzazi mwenzio. Weka msimamo wako na mwambie nayeye awe strong. Mtoto akishazaliwa ndo utakua muda muafaka wa kupata majibu sahihi.
 
Mtoto akishazaliwa ndo utakua muda muafaka wa kupata majibu sahihi.
Endapo mtoto akizaliwa akatoka kopi kopi na mm itakuwaje? Na vip kuhusu mke wangu?
 
Hii ungeleta tu kama story ya kijiweni lakini naamini haikuhusu.
 
Wale mnaobishaga na kukataa "SINGLE MAZA HAWAOLEWI" nadhani MME PATA PICHA.
 
Mimba ya miezi miwili tu tayari mme ‘keshaikataa’ kivipi, basi ujue huyo demu kimeo na wala sio wewe tu.... hii chai umeleta kwa lengo la kuwachafua singo mama’s.
 
Dah kumbe kweli mnapashaga viporo... Kweli usioe single mother
 
Kitanda hakizaagi haramu mkuu
 
Kwa hiyo sisi ndio tuumize kichwa kuwaza utafanyaje pambana na hali yako.

Sukari imemponza, kalamba yake hakuridhika, mpaka ya jirani kavamia sasa kavimbiwa Anaomba msaada..... tunamsaidie Naye kajishibisha kupita kiasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…