Mshamba kweli wewe mambo yq umasikini na utajiri umekujaje Watanzania bana mtu akipata kajumba na kagari basi anajitapa tajiri daaah taarifa yako mimi ni masikini sana nauza kahawa na kashata.Mimi sio masikini kama wewe..waisrael wanawamaliza hizo takataka zenye laana..statists zinaonyeshe Palestinians they perish everyday in good number..nice
Pole kwa familiaadriz incharge Malaria 2 Bwana Utam FaizaFoxy mtaficha wapi nyuso zenu. Hamuoni hata aibu kuwatetea hawa watu. Ndo maana mimi sihuzuniki mitoto yao na wanawake wakiuwawa. brazaj kaka yangu angalia tu huu unyama. Ritz kaka yangu angalia ndugu yetu alivyouwawa kikakarili. green rajab Accumen Mo
Chaliifrancisco angalia ndugu yetu alivyokatishwa maisha kikatili.
Hii hoja za kuruhani ziacheUnakuwa kama hujielewi ,hao Hamas wabaki na mwili wa nn kwa miezi 2 mfululizo hata huwezi kutumia akili.
Angalia hiyo video vizuri ,kwani mbona walitoa video kwamba Hamas alilipua hospital !?
KWani mimi naishi zenji mnakopikana na kupakuana mpaka mahabusu shida yenu kubwa wajukuu wa mudi mkishliwa na walimu wa madrasa akili zenu wote zinaenda kushotoNdio mchezo wako 🤣🤣hta Mungu wako pale vatican anajua.
Hatujui mazingira. Ila mi hapa siwalaumu sana Hamas kwa sababu Mollel alikuwa na nguo ya kijeshi iliyopelekea kuingia 18 za vita. Ni bahati mbaya sana kauawa ktk mazingira ambayo hakustahili ila kilichomponza ni hiyo chupi.
ukikutwa eneo la vita ndio inavyokuwa hivyo, hata israel wanaua watu wasiohusika na vitaHuyu kijana kadhulumiwa tu uhai kwa kuonewa, maana hahusiki kwa vyovyote na mzozo wa Israel na Palestine.
Israel hawaui watu wasio na hatia?Sasa tumeona hiyo. Je Clemence walimuaje? Inaumiza Hadi basi. Sina hamu na hao Wapalestina na Hamas Yao. Tunawangangania nini na kuwa ubalozi wao hapa Tz?
Kweli inasikitisha sana kwa alichofanyiwa huyu kijana, hakustahili hayo. Serikali iibane Palestine kwa hili.Niliwahi kusema haoa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki kisha anapigwa risasi alaf wanashangilia huku wakisema Alakh akbar.
Kijana mdogo anazimishwa ndoto zake na wajinga wachache alaf et leo Rais anapiga kura kuwatetea wauwaji. Rais Samia damu hii utaijibia... Ulishindwa kuzuia wasimuue lkn hata kulaani mauwaji ya watanzania wenzako umeshindwa? Badala yake umewaunga mkono wauwaji.
Video hyo inaogofya sidhani kama inafaa kuwa shared hapa. Kama unataka unaweza kuingia mtandao X imesambaa sana. Inatia huruma.
R.I.P mdogo wetu
Watanzania wengi tupo kama mizigo hatuhoji wala kufikiria kwanini? Tunapelekwa pelekwa tu kama bendera.Video ni kuzima sakata hili la kuwaua wale mateka wao wa3 ....Hili limewachafua sana mpaka wamekubali.
The first failed footage ni ile ya kulipua hospital walitoa footage wakidai ni mistake ya Hamas wakati wakirusha rocket ... Finally mabaki yalionyesha bomu limetoka USA na wao walitangaza kabla watashambulia ile tweet walifuta ila watu walikuwa nayo.
Je ni ipi dhamira yao kwa hiyo video ?
[emoji117]Dhamira yao ni kuleta kasumba ya ubaguzi wa rangi ambao lazima ilete taswira mbovu na kuwachafua HAMAS daima .
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2845386
Mkuu acha kutupanga,,,,sema zimepiga kura ya kutaka mjumbe wa israel asiwepo kwenye vikao vya AU...Nchi 14 barani Afrika zimeiondoa Israel kwenye Umoja huo AU.
Nchi zilizokubali uamuzi wa kuiondoa Israel kwenye muungano huo ni; South Africa, Tunisia, Eritrea, Senegal, Tanzania, Niger, Archipelago ya Qamar, Gabon, Nigeria, Zimbabwe, Liberia pamoja na Seychelles.
Hizo nchi zote viongozi wake ni Waislam?
Kweli inasikitisha sana kwaalichofanyiwahuyukijana, hakustahili hayo. Serikali iibane Palestine kwa hili.Ipo siku tutalipa kisasi kwa haya mapua makubwa/waarabu walioko Tanzania
Ipo siku
Kwahiyo hamas kumuua mbongo ni sawa,,,,,kisa wao wanauliwa na IDF???Israel hawaui watu wasio na hatia?
Kuna ma agent wao humu, faidha fox , Ritz Hawa huwa ambii kitu kuhusu HAMAS . Wamekua brain washed to the highest degreeHabari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
View attachment 2845298
waoHabari wazalendo wa kitanzania. Video hii nimeipata IG kiukweli nina mixed emotions. Nina hasira na masikitiko makubwa kupita kiasi. Ewe mtanzania mzalendo wa nchi tuweke mbali udini etc ni kitu kilichoniumzia roho mno. Hii video inamuonyesha Joshua Mollel akitekwa na Hamas. All the deniers sijui nawasaidia vipi. Huyu alikuwa ndugu yetu. RIP Joshua. My heart bleeds kwa hii familia
View attachment 2845298
Faiza hata na hili huamini???Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.
Ila wakifa waarabu sio Hollywood???Si mlisema kashikwa mateka?
Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.
Hollywood hiyo.