Hatujui mazingira. Ila mi hapa siwalaumu sana Hamas kwa sababu Mollel alikuwa na nguo ya kijeshi iliyopelekea kuingia 18 za vita. Ni bahati mbaya sana kauawa ktk mazingira ambayo hakustahili ila kilichomponza ni hiyo chupi.
Kabisa, chupi itakuwa ilimponza, kiarabu sikijui ila nasikia neno elshabaab yaani ewe kijana!
 
Duu inasikitisha mno. Wapo wanapouaga mtu wanasema Allah Akbar wanamaanishaga Nini. Mfano Ile Russian army naijua maana yake ya uraaa
 
Ndiyo tatizo linapoanzia, vijana tuache kuiga. Naamini hao magaidi walijua ni mwanajeshi ndiyo maana wakamimina risasi wakijua ni mosad. Ni muhimu vijana wanaoenda huko waelekezwe mazingira.
I assume hujaona video zilizochukuliwa na wao wenyewe Oct 7 ndo maana unanyoropoka
 
Naona sasa umeanza kuzinduka usingizini
 
Apumzike kwa amani kijana huyu. Inasikitisha sana.
 
Upstairs uko sawa kweli? Magaidi wa Hamas wanachafuliwaje?

Hebu tueleze nini kilichotokea October 7?
 
Kiasili, waarabu ni mashetani. Fuatilia uone yalivyoendesha biashara ya utumwa. Jitu mpaka liliitwa Tip Tip, kwa sababu kwake kuua mtumwa ilikuwa kama unavyoua nzi.
Nionyeshe picha wakifanya biashara ya utumwa sio drawings na vinyago.

Juz tu hapa uholanzi wamekiri walifanya biashara ya utumwa unajua hilo?
 
Ni vichaa tu hao,hawajui wanachopigania,wapigane na nani na hawajui adui yao ni yupi

Watakaliwa kwa mabavu hivo hivo vizazi vyote
Toka 1948 mnapigania uhuru tu hampati badilisheni mbinu
Unahitaji kuwa binadamu tu kuweza kupigania haki za wapalestina na kuzuia Genocide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…