Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .
Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..
Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?
Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Inawezekana alikuwa agent au ilitokea coincidence tu, vita inamambo mengi, mungu amrehemuUkute dogo alikuwa front line....apo apo jamaa wakamnasa,kwanza kavaa boxer ya kijeshi....
Anyway vita haicchagui wapi pa kupiga na nani wa kupigwa
Hao wanafundishwa kujilinda maana wamezungukwa na magaidi wavaa vipedo kazi yanashupaza tu shingo na misemo yao ya kujijaza sumu. Magaidi yauawe popote pale yalipo ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi. Jitu linafundishwa kujitoa mhanga hovyo kabisa... Haya na wewe imba takbir ujijaze sumu ulale nayoNa hawa hapa mabawana zako?
Serikali imeua watz wangapi?Serikali lazima itoe tamko kulaani hiki kitendo cha HAMAS
Kwa hiyo Israel baada ya kuisikiliza redio Clouds wakaona wa release hiyo video?Nasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..
Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.
Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.
Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?
Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.
Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Serikali ipi hii goigoi ya Kizimkazi ilaani nini wakati wanasubiri mabakuli kwa hao waarabuThe bad thing serikali still haitalaani hilo tukio,hivi wazazi na marafiki wakiona wanajiskiaje
Hamas hawawezi kuwa na majokofu ya kuhifadhi maiti.Ile scanario ya kutekwa wengi wanadai palikuwa na Tamasha mambo ya show na hapo palikuwa na raia wa kigeni kibao .
Hata rocket za Hamas ziliua watu wachache na inakadiriwa mateka 200 na kitu walichuliwa ni kutokana na yule dogo aliyetoa ushuhuda ni Mtanzania ..
Inakuwaje pawe na special treatment wote wachukuliwa vizuri halafu huyu wamammalize na mwili wake waondoke nao ,mpaka sasa wanasema mwili upo kwa Hamas sasa ngoja tuone?
Kumbuka HAMAS walisharelease mateka kweny batch ya kwanza ,sasa iwejw wabaki na maiti!?
Vita ya pale kwanza haina mwanzo ni suala la muda ,kila mtu yupo attention Hamas walishambulia kama wanavyoshambuliwa ila israel alitangaza vita .Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.
Kwanini hamtaki kutafuta chanzo cha hii shida yote ni Nani amesababisha?
Mungu waoWanamuua innocent guy huku wanasema mungu mkubwa,huyo mungu gani muuaji
Hapo utasubiri sana!Serikali lazima itoe tamko kulaani hiki kitendo cha HAMAS
Serikali imeua watz wangapi?Serikali ipi hii goigoi ya Kizimkazi ilaani nini wakati wanasubiri mabakuli kwa hao waarabu
Hujitambui.....Nakucheka wewe mjinga unayekubali uongo..
Muarabu na mabeberu wakichinjani sisi watz tunatakiwa kushindana kuhesabu mizoga tu ni ujinga muafrica kuwa tetea hao wahuni wa kixungu au waarabuNasikitika sana naungana na wazazi wa Joshua Mollel kuhusiana na kifo cha mtanzania mwenzetu..
Yapo maswali na sintofahamu nyingi na utata kuhusiana na taarifa za kifo cha Joshua ambapo si vibaya sisi kama watanzania tukahoji ingawa marehemu hatorudi lakini tusiwe ni kizazi cha kupokea tu bila kuhoji tutakuwa wajinga. Yapo mambo mawili ambayo yanahitaji ufafanuzi hapa.
Mosi huyu mtanzania mwenzetu tulipata taarifa kuwa amechukuliwa mateka na Hamas huko Gaza lakini leo tumeoneshwa hapa kuwa aliuwawa na Hamas nadhani tarehe 7.10.2923 ndani ya mipaka ya israeli.
Pili kama aliuwawa tangu tarehe 7.10.2023 kwanini serikali ya Israeli haikutoa taarifa ya kuuwawa kwake hadi leo walipotuletea hii clip?
Mwisho kabisa hii clip imekuja baada ya balozi wa palestina hapa nchini kuhojiwa na kituo cha radio cha clouds FM je kuna nini nyuma ya pazia? Naomba tujadili bila jazba wa mihemko.
Natoa Pole za dhati sana kwa familia ya Joshua Miller na watanzania wote kwa pamoja kwa kumpoteza Mtanzania mwenzetu.
Taarifa nyengine tunasoma kwenye twitter za Israel halfu na sisi tunapata la kusema kuwafikishia watu badala ya kutaka kupewa taarifa kimaandishi.Kwa njia ya kimaandishi huko mbele tunaweza kudai vitu vingi na fidia kutoka kwa serikali ya Israel kwa kuhusika na vifo vya wenzetu.Serikali yetu imeshindwa kuchukua hatua za uhakika juu ya watu wetu.pia nathubutu kusema hata kama tungekua na mateka wengi huko israeli naamini wangekufa tusingeweza kuwakomboa . Tumekua ni serikali ya kupokea kila tunachoambiwa badala ya ku demand.
Maskini naweza kukulisha wewe na ukoo wako dogo...Kuwa na adabu sibishana na washamba.!!Hujitambui.....
Si ajabu wewe ni maskini.
Propaganda za vitaAcheni ujinga HAMAS wamemuua yule Mtanzania kinyama!
Kwani hayo ndiyo mafundisho ya uislamu??Halafu Kuna mtu anakaa anabisha kua UISLAM NA UGAIDI NI PETE MA KIDOLE??.
NDIO MAANA DOLA INAWAPIGA MIAKA YA KUTOSHA GEREZANI.
Israel isirudi nyuma, iwatandike Hawa wajingaa ,wasiwepo tena ukanda wa Gaza .
Sana sanaaWhat i can say is Tanzania tuna viongozi wanafiki na irresponsible.