Ww ni mse....

Jaza nafasi iliyoachwa wazi.
 
Hamas kuvamia na kuua watu waliokua kwenye tamasha mliona ni sawa? Mkiua nyinyi mnafurahi na kuchekelea. Mkiuwawa mnaanza kulialia.
Shenzi kabisa. Piga hao mbwa wakawahi bikra 72.
 
Hiyo video ni uongo mtupu.
Acha uzushi bidada. Video ni ya kweli sema Mollel alikuwa na chupi ya kijeshi na ndiyo tatizo lilipoanzia. Vitan hata wajeda ukizidiwa huwa wanaachana na kiashiria chochote cha kijeshi. Mi naona kosa kubwa la Mollel ni hiyo chupi ya kijeshi.
 
InAumlza sana kijana wetu kosa lake nn mpk wanamuua tunaomba Israel iyafute yote magaidi ya HAMAS itumie hata nyuklia kuyapiga
 
Hiv mnajua hasa nn kilichompeleka huko???
 
Humu watu wanachangia kimihemko,

Vita ni vita muraa, na hakuna kuaminiana kwenye vita

Halafu pia hata hao hamas washapoteza ndugu zao wengi, maaskari wenzao wengi,

Katika hali hiyo unadhani watakuwa na huruma na mtu??
 
Kwahiyo tukio walilofanya Hamas October 7 lilikuwa halali.

Kwanini hamtaki kutafuta chanzo cha hii shida yote ni Nani amesababisha?
Chanzo cha hii shida mkuu kimeanzia mwaka 1948 wayahudi walipopewa eneo la palestina kuwa taifa lao na UN tangu hapo hakujawahi kuwa na amani na haitakuwepo mpaka atakapokufa mpalestina wa mwisho au muyahudi wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uzushi bidada. Video ni ya kweli sema Mollel alikuwa na chupi ya kijeshi na ndiyo tatizo lilipoanzia. Vitan hata wajeda ukizidiwa huwa wanaachana na kiashiria chochote cha kijeshi. Mi naona kosa kubwa la Mollel ni hiyo chupi ya kijeshi.

Hayo ni maoni ila chupi haiwezi kuwa point kubwa ,sababu footages za uongo walishatoa nyingi na Israel wana teknolojia kubwa sana ya kufanya chochote yaani wamekaa mda sana .

Kumbuka hata wale waliojisalimisha ni scripts sio kweli ni video za kutunga.

Ile video wakidai hospital walilipua Hamas nayo ni uongo ,walikuja kugundulika kutokana na mabaki ya bomu ..

Assume mtu anauliwa watu wengine wanapita wana ishu zao hata hawashtuki..
 
Humu watu wanachangia kimihemko,

Vita ni vita muraa, na hakuna kuaminiana kwenye vita

Halafu pia hata hao hamas washapoteza ndugu zao wengi, maaskari wenzao wengi,

Katika hali hiyo unadhani watakuwa na huruma na mtu??
Hiyo ni tar 7/10 na hakukua na mapambano yoyote. Tusitafute utetezi dhaifu. HAMAS wamezingua sana kumuua dogo asiye na hatia.

Let them get fire
 
tunaisomea wapi sasa chief
 
Balozi alisema nini kwenye mahojiano?

Nini kinaunganisha story ya video na mahojiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…