Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

Kwa mfano Mimi watoto wangu yaan nimejizaa ukimwangalia ni Kama imepigwa photocopy of mine yaan ni photocopy hata hauulizi mara mbili MBILI...

Dunia Ina maajabu YAKE
 
Yaweza kua wa kwake pia
Maana kila mtu ana siku yake ya kupata mtoto
Yupo rafiki wa dada angu alikaa kwenye ndoa miaka 15 hana mtoto kapata mtoto miaka mitano iliyopita tena copy ya baba akabeba tena fasta wote sura za baba mtu
Mungu tu sio kila mtu ana urahisi wa kupata mimba na sio kila mwanamke msaliti
 
Nimecheka ujue[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwenye ndoa ndo wanaongoza kutoa mimba eti
 
Kuna mmoja alikaaa miaka mitano ikabid aje nimpe mbegu tu cha kuzingatia usimwamin sana mwanamke
 
Wanaume wa jf
Mnashangaza mnoo
Mnadhani kila mwanaume kaoa malaya ?yes malaya ?kuna watu wameoa watoto wa kike wenye akili waliotoka kwenye vinena na malezi ya maadili
Hawajawahi kusaliti wala kuleta watoto wa nje ya ndoa
Msitake kusema kila aliyechelewa kuzaa baasi kaletewa mtoto sio wake

Kama hao wa kwenu makahaba ni hao sio kila mwanamke ana hizo pigo
Acheni upuuzi wenu kujifanya nyie ndo mnawajua sanaaa wanawake
Wanawake anawajua Aliyewaumba tu wengine acheni perete perete

Wapo mabinti na wanawake waaminifu msidharau taasisi tukufu ya ndoa kiasi hicho jamani
Kuna wanawake wavumilivu mnoo tu ktk ndoa zao
Muacheni kaka wa watu afurahi neema na baraka za Mungu alizoletewa
 
Kiongozi hakuna baba halisi anaweza kuwa na hiyo akili walionao Hawa wajinga.

Sisemi kuwa hayatokei, yanaweza kutokea ila inategemea na mazingira.

Binafsi Wala sina shaka kabisa kuhusu uzao wangu, mwenye mashaka basi ujue anajua mashaka yake yalipoanzia.

Mim binafsi Nina alama katika uso wangu na hiyo alama nimeikuta Kwa mwanangu nilipoenda kumwona.

Sasa hapo DNA yanin!? Kama sio upuuzi ni Nini!
 
ACHA UPUUZI MKUU, HEBU NENDA KAPINE DNA HUYO MTOTO
 
ACHA UPUUZI MKUU, HEBU NENDA KAPINE DNA HUYO MTOTO
Na ndo maana wewe unatumia ubia wa mama Ako?? Nilikuwa nashangaa kwanini unaitwa George Thelesia.

Kumbe baba ako alistuka mapema, wakaamua waweke jina la mam ako
 
Ila watu wana negativity sijui ndio njaa, husuda, au ni umasikini wa fikra..... too much hate...
Sio tu negativity mkuu Wana njaa pia, we mtu tangia juzi analamba chumvi tu, unadhani huyu mtu akiingia Jf atacomment Nini.
 
Sasa si umeshasema una watoto wa 4 mkuu? Mi ndo naanza huenda nikifisha hiyo idadi nami nitavurugwa
 
Mkuu,
Mimi akili yangu ilikuwa nikuandika matokeo ya ushindi wangu ambao mungu ameamua kunitunuku.

Kama Kuna mtu anapitia kwenye hii Hali na amekaa muda mrefu na anataka kujua basi atanitafuta na kuniulizia.

Lakini mim nimeamua kuyaandika haya.
 
Hongera sana
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…