Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Plus upopoma"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plus upopoma"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Kila la heri chief,Ila mtoto ana tabia ya kufanana na baba anayemlea hata kama sio wake😔.Mtoto wangu yaan nimejizaa ukimwangalia ni Kama imepigwa photocopy of mine yaan ni photocopy hata hauulizi mara mbili MBILI...
Dunia Ina maajabu YAKE
Sawa mkuuKila la heri chief,Ila mtoto ana tabia ya kufanana na baba anayemlea hata kama sio wake😔.
Walionao Waliokuzaa na wana Koo zako zote mbili.Plus upopoma
Yaweza kua wa kwake piaNakushauri upime DNA ili kujihakikishia umiliki wa huyo mgeni mpya aliyewasili hapa duniani leo hii.
Kipimo Cha furaha uliyonayo leo hii itakuwa sawa sawa na kipimo Cha huzuni utakayopata wakati utakapokuja kugundua kwamba kumbe wewe ni baba mlezi tu wa huyo mgeni mpya aliyewasili.
Kwa leo sitaweza kukupongeza kwa ugeni wako huo hadi hapo baadaye nitakapopata majibu ya uhakika ya DNA Test kuhusu huyo mgeni wako.
Nimecheka ujue[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kweli dunia vurugu. Wewe unafurahia wakati hapa mimi nimevurugwwa wife hazioni siku zake week ya pili sasa.
Nahis kuvurugwa kwel kwel yan
Shuda ni kwamba kwa umri wangu wa 35 years sasa nilisha plan sitaki tena mtoto.
NB
nasisitiza ni wife, mke wangu wa miaka 14 sasa na tuna watoto wa 4.
Kiongozi hakuna baba halisi anaweza kuwa na hiyo akili walionao Hawa wajinga.Yaweza kua wa kwake pia
Maana kila mtu ana siku yake ya kupata mtoto
Yupo rafiki wa dada angu alikaa kwenye ndoa miaka 15 hana mtoto kapata mtoto miaka mitano iliyopita tena copy ya baba akabeba tena fasta wote sura za baba mtu
Mungu tu sio kila mtu ana urahisi wa kupata mimba na sio kila mwanamke msaliti
ACHA UPUUZI MKUU, HEBU NENDA KAPINE DNA HUYO MTOTO
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya dunia kwakuwa na mtoto wakiume.
Haikuwa rahisi ila kwakuwa nilimwachia mungu, naamin Leo ameamua kunijibu.
Hakika subra ni dawa na ponyo tosha Kwa wanaadamu.
Baada ya miaka mingi ya majuto na machozi Kwa mke wangu hatimae Leo amemuona mwanae mwenyewe.
Nashukuru mungu nami alinipa subra na uvumilivu wakuamini kuwa ipo siku tutapata mtoto.
Asikuambie mtu ni mtihani mkubwa saana kuwa kwenye ndoa na ukakosa mtoto Kwa muda mrefu.
Mungu alinipa maneno ya kumfariji Kila nilipomuona mke wangu analia.
Hakika nilikuwa mnyonge saana, ila usiku wa Leo mwanangu amenipa nguvu kubwa saana.
Amefuta Kila aina ya huzuni na kufanya nisahau Kila uchungu niliowahi kuwa nao.
Mungu nitunzie mwanangu, nitafanya Kila niwezalo huyu mtoto aishi Kwa furaha.
Hata kama nikiondoka Leo katika dunia hii najua kuwa nimeacha mtoto.
Tafadhali, nakuomba mungu usinicheleweshee na ndugu zake.
Mungu wape subra na uwafanyie wepesi wale wote wanaopitia katika mtihani huu, hakika wewe ndo mjuzi wa Kila kitu. Kwako halicheleweshwi jambo isipokuwa pale utakapo.
Hakika wamesubiri basi wape shufaa nao waone kizazi Chao.
Ameeeen!
AmiinAamin
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma
Na ndo maana wewe unatumia ubia wa mama Ako?? Nilikuwa nashangaa kwanini unaitwa George Thelesia.ACHA UPUUZI MKUU, HEBU NENDA KAPINE DNA HUYO MTOTO
Sio tu negativity mkuu Wana njaa pia, we mtu tangia juzi analamba chumvi tu, unadhani huyu mtu akiingia Jf atacomment Nini.Ila watu wana negativity sijui ndio njaa, husuda, au ni umasikini wa fikra..... too much hate...
Sasa si umeshasema una watoto wa 4 mkuu? Mi ndo naanza huenda nikifisha hiyo idadi nami nitavurugwaKweli dunia vurugu. Wewe unafurahia wakati hapa mimi nimevurugwwa wife hazioni siku zake week ya pili sasa.
Nahis kuvurugwa kwel kwel yan
Shuda ni kwamba kwa umri wangu wa 35 years sasa nilisha plan sitaki tena mtoto.
NB
nasisitiza ni wife, mke wangu wa miaka 14 sasa na tuna watoto wa 4.
Mkuu tunza energy yako usiwajibu. Elekeza furaha yako kwa mkeo na mwanao. Usikaribishe negativity. ...Sio tu negativity mkuu Wana njaa pia, we mtu tangia juzi analamba chumvi tu, unadhani huyu mtu akiingia Jf atacomment Nini.
Mkuu,Bora ukwel unao huzunisha kuliko kujifurahisha kwa uongo. Hii hua ni suala la kitambo kifupi.
Shida hajaeleza tatizo hasa lilikuaje before walitumia njia gani kukabiliana nalo, nani kati yao alikua na changamoto na changamoto hiyo ilikua ipi?
Wakachukua hatua gani mpaka kufikia hitimisho la matokeo ya mimba.
Anaweza akaona sio muhim ila alipaswa kuandika humu maana angesaidia wengi ambao mpaka sasa huenda wana shida kama aliokua nayo yeye
Hongera sana