Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

Siwezi mkuu. Kwani wewe mama Yako ashawahi kukutambulisha kuwa huyu ndo baba Yako mzazi? Au unaishi Kwa mazoez tu?

Kisa anatoka na taulo kwenye chumba Cha mama Yako?
Basi ungemwacha mwamba na yeye aishi kwa mazoea na mwanae, ya nn unamtaka akampime hyo dogo dna wakati we mwenyewe huna uhakika na unayemuita dingilaa kama ni dingilaa kwel? au kama una mtoto je una uhakika gani ni wako? au ulishapima?
 
Ila we jamaa wewe
 
Basi ungemwacha mwamba na yeye aishi kwa mazoea na mwanae, ya nn unamtaka akampime hyo dogo dna wakati we mwenyewe huna uhakika na unayemuita dingilaa kama ni dingilaa kwel? au kama una mtoto je una uhakika gani ni wako? au ulishapima?

Kwa maelezo yake Kuna uwalakini mkubwa wa kupima DNA miaka7 then iwe Leo? Ni sawa lkn kujihakikishia kapime DNA.

Mzee ni kimwambia Mimi ataniuliza una baba mwingine zaidi yangu? Hili ni jukume lake anipe au lah!

Muulize mama kwanza kama huyo ndo baba Yako mzee
 
sasa me nimuulize wa nn? Kwa hyo kwa vile wewe mimba yako ilitungwa ndani ya mwez baada ya ndoa inagarantii kuwa ni ya baba yako, kama mama yako alikuwa na mimba ya mwanaume mwingne je?
 
Mkuu na kuelewa vizuri ila ungesema ndugu zako wa dhati ni watoto wako, mke muondowe, utakua disappointed bure mpaka upate stroke, never ever trust a woman in your life time save your mother
 
Congratulations
 
Najua namna gani ulivyo na furaha. Mungu aizidishe furaha yako mara dufu.

Ndugu yangu alisubiri miaka 8 bila ya mtoto. Can u imagine? Tena wote wakiwa na afya njema bila tatizo lolote. Kila kitu kipo sawa, ila mimba haikamati.

Kila upande ukaanza kuinyooshea kidole upande mwingine. Upande wa mume (sisi) tukaanza kusema ndugu yetu hana shida. Tufanye mpango *mke wa pili.

Upande wa mke unamuasa ndugu yao, agawe uroda kwa wanaume wengine. Wamfungulie jamaa njia 🤣🤣🤣. Duh!
.
Tafrani tupu. Maneno mengi sana. Lakini wenza wale waliamua kusubiri. Waliamua kuupa muda uamue.

Baada ya miaka nane ya msoto, hatimaye wakabarikiwa kupata mtoto wa kike, mrembo kweli kweli. Mchangamfu na mjanja sana. Huna haja ya kuulizia kama ni wa babaye, unahitimisha tu.

Bahati ilikuwa kwao. Walioana wangali vijana. Sasa wana watoto watano wenye furaha kubwa.

Usikilize maneno ya watu. Hawajui mateso uliyopitia. Furahia na umshukuru Mungu. Mrejeshee sifa na utukufu. Binadamu hawa wanaokutia wasiwasi ndiyo wale waliokuwa wanakusimanga wewe na mkeo. Kisa mmeshindwa hata kupata mtoto mmoja.

Leo wanaibuka na kukutia hofu, ili uendelee kuishi kwa wasiwasi. Binadamu hajawahi kueleweka.

Kila la kheri.
 
Huyo ni mwanae....kumbuka, Kitanda hakizai haramu.

Hongera sana mleta mada kwa kupata uliyemsubiri kwa muda mrefu.
Mlee katika maadaili mema ya kujitambua na kuwatambua wengine.
 
Usihalalishe makosa na udhaifu wako uwe wa wote, hapana asilimia kubwa ya wanawake ni waminifu kwa ndoa zao kwa kipindi kikubwa kabla hawaja rubuniwa na watu wenye fikra potofu kama ya kwako.
 
Usi generalise mifano ipo! Mke wa mwanangu alibeba jukumu la kuhangaika na mumewe tangu alipotoka hospital hadi sasa. Alitueleza wazazi wake twende makwetu maana yeye anammudu mgonjwa. Kwa sasa angalau anaweza kujisafisha na karibu anamtoa! Tusigenelalaise
 
Basi ungemwacha mwamba na yeye aishi kwa mazoea na mwanae, ya nn unamtaka akampime hyo dogo dna wakati we mwenyewe huna uhakika na unayemuita dingilaa kama ni dingilaa kwel? au kama una mtoto je una uhakika gani ni wako? au ulishapima?
Sikushauli kupima DNA, ogopa kitu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…