Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

True yaan chukia nduguzo wote ila sio wazazi wako never usifanya ivo
Hapo kajiona ana akiri sana. Hadi Sasa huyo mke wake kashamuona akiri yake ni mavi ya nyoka tu hamna kitu. Ukosane na wazaze ambao huwezi pata popote pale! Mke hata jioni unapata na anakuzalia Watoto vilevile!!
 
Usipende kuwaeleza watu kitu kinachokupa furaha, au kuwaeleza malengo yako.
Kinachokupa furaha kiwe siri yako na malengo yako acha wayaone yakiwa tayari yametimia vinginevyo watashambulia furaha yako au malengo yako ili yasitimie.

Usirudie.
 
Hongera sana mkuu, Mungu awatunzie kijana wenu.....

Uko wapi........
nilete diapers 😊
 
Niko humu muda mrefu saana, najua akili za watu wahumu.

Kuna wengine Wanacomment wakiwa mirembe, kwahiyo Wala hainisumbui mkuu
Mkuu ushauri wote uchukue ila masuala ya kupima DNA ya puuze kabisa utatengeneza tatizo kubwa la kudumu kati yako na mke wako, la kutoaminiana tena upendo utaondoka.
 
Oyaa Comment ina like nyingi...inaonyesha Bongo tunapenda uchuroo sana
 
Niko humu muda mrefu saana, najua akili za watu wahumu.

Kuna wengine Wanacomment wakiwa mirembe, kwahiyo Wala hainisumbui mkuu
Mkuu ushauri wote uchukue ila masuala ya kupima DNA ya puuze kabisa utatengeneza tatizo kubwa la kudumu kati yako na mke wako, la kutoaminiana tena upendo utaondoka.
 
Nafahamu furaha uliyo nayo baada ya kupitia machungu mengi. Natambua hali inavyokuwa kukaa muda mrefu bila kupata mtoto hasa hasa kama kunakuwa na changamoto za uzazi kati ya wawili

Hata hivyo, nakushauri umshukuru Mungu kwa Imani yako. Si kila mtu anafurahia furaha ya mwingine. Majukwaa kama haya ya mitandao kukuondolea furaha uliyonayo na kukubadilishia mwelekeo wa kuwaza ni sekunde tu

Kwa vile umeamua kushiriki nasi furaha yako humu, basi jiandae pia kupokea makwazo , kejeli na kila aina ya maneno ambayo pengine yanaweza kuwa ya kuvunja moyo

Zaidi tu, nikupongeze na nakuombea kwa Mungu amtunze mwanao na adumishe furaha yenu. Umenikumbusha furaha niliyopata siku nilipopata mwanangu wa kwanza! Ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zako ni watoto wako tu.., sio mke..
 
Daah, utakufa vibaya wewe, usifanye hivyo unless una uhakika mume wake ana matatizo.., ila kama ana mnywea P2 sio poa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…